Rais kugawa maburungutu ya fedha: Wasaidizi wa Rais wako sahihi?

Informer

JF-Expert Member
Jul 29, 2006
1,582
6,627
Wadau,

Hii ni sahihi?

36ff2faf7ec16939ca0c5e25b8d5358d.jpg

Katibu wa Rais Ngusa Samike akikabidhi kiasi cha Shilingi milioni 60 kwa Kaimu Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Leah Ulaya kutekeleza ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyoitoa hapo jana mara baada ya kuendesha harambee ya papo kwa papo ambapo kiasi hicho cha fedha kilipatikana.

6be8c8b0d0b2adbd443360706ad350c5.jpg
 
KELELE ZOTE ZIMEISHA MARA MGOMO MARA HIVI... PESA SABUNI YA ROHO
ILA HUU UTARATIBU SIO RASMI ILITAKIWA KUWE ZA ZILE DAMMY CHEQUE AMBAYYO ITAONYESHA NI BOT(SERIKALI)KAMA CASH BAS NI KUTOKA MFUKONI
PAPAA PADLOCK
 
Wadau,

Hii ni sahihi?

36ff2faf7ec16939ca0c5e25b8d5358d.jpg

Katibu wa Rais Ngusa Samike akikabidhi kiasi cha Shilingi milioni 60 kwa Kaimu Rais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Leah Ulaya kutekeleza ahadi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli aliyoitoa hapo jana mara baada ya kuendesha harambee ya papo kwa papo ambapo kiasi hicho cha fedha kilipatikana.

6be8c8b0d0b2adbd443360706ad350c5.jpg
Huu ni utakatishaji fedha! Ni benki gani ilimruhusu huyu mtu ku-drawal cash fedha yote hiyo? Na kwa nini anatembea na mabulungutu yote hayo?
 
Labda baba Mwenye nyumba Hana limit ya kutembea n'a mijihela

Ova
 
Back
Top Bottom