Kama mnavyojua rasimu ya pili ya katiba imetoka katika ibara ya 113.-(2)b rais atachagua wabunge watano amabao watakuwa walemavu kwanini kusiwepo na utaratibu maususi ambao utawapa fursa walemavu wenyewe kupita vyama vyao kupata viongozi ambao watafanya kazi kwa manufaa ya wajiri wake nawathirisha.