Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Rais kila akitoa hotuba utamsikia akisema namnukuu ''LAZIMA TUAMBIZANE UKWELI" mwisho wa kumnukuu lakini ukimwambia ukweli anachukia sasa ndugu yangu Rais CAG kasema kuna ufisadi kwenye serikali yako huo ndio ukweli uliosema tuambizane kwanini unachukia kwani unataka ukweli gani?