Rais kila akitoa hotuba utamsikia akisema namnukuu ''LAZIMA TUAMBIZANE UKWELI" mwisho wa kumnukuu lakini ukimwambia ukweli anachukia

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,243
34,897
Rais kila akitoa hotuba utamsikia akisema namnukuu ''LAZIMA TUAMBIZANE UKWELI" mwisho wa kumnukuu lakini ukimwambia ukweli anachukia sasa ndugu yangu Rais CAG kasema kuna ufisadi kwenye serikali yako huo ndio ukweli uliosema tuambizane kwanini unachukia kwani unataka ukweli gani?
 
Anapenda kusikia unafiki wa Bashite

Ukisema ukweli wa akina Lisu, Ben saanane nk unapotezwa

Kifupi hamaanishi wala kukiamini asemacho.
 
Unafiki,akiambiwa ukweli kuhusu makondakta utasikia makondakta piga kazi ila wengine wanaenda na maji on the spot hata kama makosa yao hayaonekani mfano ni kikokotoo kimemuondoa mkurugenzi wa mifuko ya hifadhi,koroshow imewaondoa waziri wa viwanda na naibu wake...listi ni ndefu.
 
Mkuki kwa nguruwe..
Jiwe ni mnafiki, anachokiongea na anachokifanya ni vitu viwili tofauti.
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom