TRANQUILITIST
Member
- Oct 28, 2012
- 84
- 35
Rais wangu wa jamuhuri ya muungano ya Tanzania, tunakuomba tengua uwaziri wa Kagasheki mara moja kutokana na sababu zifuatazo:
1; Waziri Kagasheki amekiri mbele ya wananchi wa Bukoba kuwa alipindisha sheria kwa kuwapatia passport ya kusafiria watoto wa Meya wa manispaa ya Bukoba ambao hawakuwa raia halali wa tz kwa wakati huo. Akiwa naibu waziri wa mambo ya ndani kwa wakati huo aliamuru watoto hao wapewe vibali vya kusafiria kinyume na katiba ya nchi.
2;Amekiri kusababisha migogoro ndani ya chama kwa kutengeneza makundi wakati wa kumchagua meya, ambapo amekiri kufarakana na mwanachama mashuhuri bw. LUANGISA.
KWA HALI HIYO HAFAI KUWA WAZIRI MWENYE DHAMANA, PIGA CHINI.