UKI
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 691
- 172
yote nimeshazoea ila wadau wanaojua naomba mnieleweshe ikulu wanatumia email hii?? E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com wanazidiwa hata na taasisi za elimu na vyuo?? hii imekaaje yaani hata vikampuni vidogo kabisa vina server yao au hiyo email sio exist??