Ahsante kwa
taarifa mkuu,
Mkuu anakwenda mara kwa mara, ingawa kuna wawakilishi .. leo hii
amekwenda wiki ijayo amerudi, wiki itayofuata ataondoka and the week
after anarudi, na ile wiki(mwezi sasa) atarudi KULE KULE...sasa hivii ni
kwa nini Rais wetu asikae huko huko hadi amalize "mikutano/ziara n.k"
YOTE ndio arudi?
Jamani,we mbona hivyo! aidha una bifu na prezidaa au mgumu kuelewa! c umeainishiwa madhumuni,malengo na umuhimu wa safari hiyo? sasa iweje unadai bora akae hukohuki?
Unashangaa nini hapo.........ikulumawasiliano@yahoo.com ???????????????????????????
Si unaona Juzi alikwenda kwenye Family Planning Summit??.......Bill and Melinda Gates...wanamfanya anakimbia kimbia magogoni!!Inaoneka kama kuna NGO's zimemfanya JK kama kuwadi wao ili zipate misaada za hawa ma-philanthropist. Maana ukipata rais dhaifu unaweza kumtumia kupata mabilioni ya dola toka kwao maana kila siku atakuwa anakwenda kuwanyenyekea hawa kina Bloomberg ama akijua au kwa kutokujua kuwa anatumika. Pole sana JK
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com
press@ikulu.go.tz
Fax: 255-22-2113425
Hii kitu hii kwani hakuna kiswahili chake
hakuna kiswahili cha email au fax au website au hiyo Directorate
Hiyo KURUGENZI imekosa kazi hii si taarifa ni utaratibu uliozoeleka kwa huyo bwana kuongoza nchi kwa safari za nje kutoa taarifa ni sawa MUME kuutangazia UMA anataka kuzaa ma MKEWE.
Mbona hakuna bendera ya Tanzania hapo! Picha imechakachuliwa!
Kagonga safari ya 338!!!
Marekeni anaenda kufanya nini wakati Waziri wake wa Mambo ya Nje yupo huko!!?
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Mhe. Waziri Benard Membe, katika picha ya pamoja na Rais Obama na Mama Michele Obama wakati wa hafla ya Viongozi wa Nchi Wanachama za Umoja wa Mataifa iliyoandaliwa na Mhe. Rais Barack Obama jijini New York. Mhe. Waziri Membe yuko New York akiongoza ujumbe wa Tanzania akimuwakilisha Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwenye Mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa.