Rais Kikwete: Tutamudu gharama za flyovers & madaraja na ufisadi huu??

'Tutamudu vijana msiwe na shaka. Sijasahau, kwanza Obama kaniaidi mchango wake, wachina nao wamesema watatusaidia, pia najaribu kuongea na Mzee Kibaki tuone nini tunaweza kufanya, aaah ila mnikumbushe mara kwa mara kabla ya uchaguzi ujao japo tuanze kuchimba mashimo ya kuwekea nguzo na..........! Sory ngoja nipokee simu ya R. Aziz labda ana mkakati mpya'
 
Ah!
Mambo ya ahadi za kwenye kampeni mnazileta sasa wakati nimeshinda kwa akili yangu mwenyewe? (Kuchakachua) .
Hayo tuongee November 2015!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom