SIR_KIMANYO
Member
- Sep 24, 2010
- 36
- 1
[FONT=Century Gothic, sans-serif]UNITEDREPUBLIC OF TANZANIA[/FONT]
[FONT=Century Gothic, sans-serif]DIRECTORATEOF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS[/FONT]
[FONT=Palatino Linotype, serif]TAARIFAYA UFAFANUZI[/FONT]
[FONT=Palatino Linotype, serif]Tarehe 21 Julai,mwaka huu, 2011, Katibu Mkuu Kiongozi Bwana Phillemon Luhanjo,akitumia madaraka yake ya Mamlaka ya Nidhamu ya Watumishi wa Umma,alitangaza hatua ya kumpa likizo ya malipo Katibu Mkuu wa Wizara yaNishatai na Madini, Bwana David Kitundu Jairo, ili kupisha uchunguzialiokuwa ameuagiza ufanyike dhidi yake. [/FONT]
[FONT=Palatino Linotype, serif]Bwana Luhanjoalichukua hatua ya kumsimamisha Bw. Jairo kufuatia tuhuma zilizokuwazimeelekezwa dhidi yake na baadhi ya wabunge wakati wa mjadala kuhusuMakadirio na Matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini kwa mwaka2011/12 katika kikao cha Bunge kilichofanyika tarehe 18 Julai, 2011. [/FONT]
[FONT=Palatino Linotype, serif]Katika mjadalahuo, baadhi ya wabunge walihoji uhalali wa Wizara kuomba michango yafedha kutoka kwenye Taasisi zilizoko chini ya usimamizi wake ilikusaidia Bajeti ya Wizara hiyo kupita kwa urahisi.[/FONT]
[FONT=Palatino Linotype, serif]Kufuatia hatuahiyo ya kumsimamisha kazi Bw. Jairo, Katibu Mkuu Kiongozi alimwombaMdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Bwana LudovickUtouh kufanya ukaguzi maalum na uchunguzi wa awali juu ya tuhumahizo.[/FONT]
[FONT=Palatino Linotype, serif]Tarehe 9 Agosti,mwaka huu, 2011, Bw. Utouh aliwasilisha Ripoti yake kwa Katibu MkuuKiongozi, na tarehe 23, Agosti, 2011, Katibu Mkuu Kiongoziakiambatana na Bw. Utouh alitangaza mbele ya waandishi wa habarimatokeo ya ukaguzi huo maalum na uchunguzi wa awali juu ya tuhumadhidi ya Bw. Jairo. [/FONT]
[FONT=Palatino Linotype, serif]Katika Ripoti yakembele ya waandishi wa habari, Bw. Utouh alihitimisha:[/FONT][FONT=Palatino Linotype, serif]Ukaguzi maalum haukuthibitisha kuwepo kwa usahihi wa tuhumazilizotolewa dhidi ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Bw.David Kitundu Jairo.[/FONT]
[FONT=Palatino Linotype, serif]Kufuatia Ripotihiyo ya Bw. Utouh, Katibu Mkuu Kiongozi naye aliwaambia waandishi wahabari: [/FONT][FONT=Palatino Linotype, serif]Matokeoya uchunguzi huo ni kwamba tuhuma zilizotolewa Bungeni tarehe 18Julai, 2011, hazikuweza kuthibitika. Kutokana na matokeo haya yauchunguzi wa awali, mimi kama Mamlaka ya Nidhamu ya Katibu Mkuu,Nishati na Madini, Bwana David Kitundu Jairo, sitaweza kuendelea nahatua ya pili ya kumpa taarifa ya tuhuma (notice) na Hati yaMashitaka kwa sababu Bwana David Kitundu Jairo, hajapatikana na kosala kinidhamu (disciplinary offence) kwa mujibu wa Taarifa ya UkaguziMaalum.[/FONT]
[FONT=Palatino Linotype, serif] Alihitimisha:[/FONT][FONT=Palatino Linotype, serif]Kufuatiamatokeo ya taarifa hii ya awali na kwa mamlaka niliyonayo kwa mujibuwa Sheria Na. 8 ya Utumishi Umma ya Mwaka 2002 na kanuni zake zaMwaka 2003, NINAAMURU BWANA DAVID KITUNDU JAIRO AREJEE KAZINI KUANZIASIKU YA JUMATANO, TAREHE 24 AGOSTI, 2011. [/FONT]
[FONT=Palatino Linotype, serif]KURUGENZI YAMAWASILIANO YA RAIS, IKULU,[/FONT][FONT=Palatino Linotype, serif]inapenda kutoa ufafanuzi kuwa baada ya kupokea taarifa ya uchunguziya CAG na uamuzi wa Katibu Mkuu Kiongozi kuhusu suala hilo asubuhi yatarehe 25 Agosti, 2011, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, Rais waJamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliamua kuwa Ndugu Jairo asirudikazini mpaka kwanza yeye Rais atapoamua namna gani ya kurudi kazini,lini na wapi.[/FONT]
[FONT=Palatino Linotype, serif]Katibu MkuuKiongozi alifikisha uamuzi huo wa Rais kwa Ndugu David Jairo ambayemapema asubuhi ya siku hiyo alikuwa ameripoti kazini. Ndugu Jairoalitii uamuzi huo wa Rais. [/FONT]
[FONT=Palatino Linotype, serif]Tunapendakusisitiza kuwa Mheshimiwa Rais hawaja kigeugeu kwa sababu alifanyauamuzi mmoja tu baada ya kupokea taarifa kutoka kwa Katibu MkuuKiongozi. Na uamuzi huo aliufanya kabla ya Bunge kulizungumzia sualahilo na hivyo uamuzi huo wa Rais haukutokana na shinikizo la Bunge.Pamoja na kumweleza Katibu Mkuu Kiongozi, Rais pia alimfahamishaWaziri Mkuu kuhusu uamuzi wake huo asubuhi hiyo ya tarehe 25, 2011.[/FONT]
[FONT=Palatino Linotype, serif]Aidha, tunapendakufafanua zaidi kwamba Katibu Mkuu Kiongozi ametimiza wajibu wakeipasavyo kama Mamlaka ya Nidhamu kwa Katibu Mkuu kwa mujibu waSheria, Kanuni na Taratibu za Utumishi wa Umma. Mheshimiwa Rais, kwaupande wake, ametumia madaraka yake kama Mamlaka ya Ajira ya KatibuMkuu. Hakuna suala la kujichanganya wala ukigeugeu ndani ya Serikalikuhusu suala hili.[/FONT]
[FONT=Palatino Linotype, serif]Mwisho.[/FONT]
[FONT=Palatino Linotype, serif]Imetolewana Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,[/FONT]
[FONT=Palatino Linotype, serif]Ikulu[/FONT][FONT=Palatino Linotype, serif],[/FONT]
[FONT=Palatino Linotype, serif]Dares Salaam[/FONT][FONT=Palatino Linotype, serif].[/FONT]
[FONT=Palatino Linotype, serif]26Agosti, 2011[/FONT]

[FONT=Book Antiqua, serif]Telephone: 255-22-2114512, 2116898 [/FONT] [FONT=Book Antiqua, serif]E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com[/FONT] [FONT=Book Antiqua, serif]press@ikulu.go.tz [/FONT] [h=4]Fax: 255-22-2113425[/h] | | PRESIDENTS OFFICE, THE STATE HOUSE, P.O. BOX 9120, DAR ES SALAAM. Tanzania. [h=5][/h] |