Rais Kikwete safarini Marekani

Mwana Mpotevu

Platinum Member
Sep 7, 2011
3,295
2,500
Rais Kikwete amewasili Dubai usiku jana akiwa njiani kwenda marekani kwa ajili ya matibabu na kufanya check up ya afya yake.

Maafisa wa ikulu wamethibitisha kuwa safari hii ni kwa ajili ya matibabu tu ingawa haijasemwa anasumbuliwa na nini
 
Anasumbuliwa na S&T allowances!! Ndani ya week mbili tu ................. RSA x2, Kenya, sasa UAE na kesho USA!! Kama kweli ni matibabu kulikuwa na haja gani ya kupitia huko Dubai. Au anataka kudai ana save pesa za walipa kodi kwa cheap tickets za Emirates!!??
 
Hakujifunza kwa mzee mandela kutibiwa nyumbani!yaani viongozi wa africa kufia nje ya nchi zao wanaona sifa

haya mambo mweleze mzee wako yeye akiumwa abaki nyumbani kwake asiende hospital kwani nani kakudanganya kuwa jk ameenda kwenye matibabu kama kaenda kufirisi mali za mafisadi kama wale walioficha pesa dubai.
 
Hakujifunza kwa mzee mandela kutibiwa nyumbani!yaani viongozi wa africa kufia nje ya nchi zao wanaona sifa

Madiba pamoj na umuhimu wake kwa SA lakini hakupandishwa ndege kuvuka mipaka ya South kufuata matibabu nje....kwa hali hiyo si rahisi kuboresha hospitali zetu kwa kuwa wao wana fursa ya kwenda nje kwa gharama yoyote ya walipa kodi. Who cares daaah!!
 
Bavicha bana! Wewe humjui Mandela kaa kimya mara nyingi tu kaishaenda kutibwa Ulaya.
 
Lakini ni tetesi! Mbona watu mmemshambulia badala ya kutudhibitishia kama kweli tumpe vidonge vyake au uongo!
 
Nyie pro-Chadema najua mna chuki sana na rais wetu JK hata kama anakwenda kutibiwa tatizo lipo wapi acheni unafiki basi, juzi hapa kiongozi wenu Dr.Slaa kaongozana na girlfriend wake Josephine kwenda Ujerumani kuangaliwa afya mlishangilia sana leo JK mnaanza kuponda acheni siasa za makengengeza.
 
Last edited by a moderator:
Lakini ni tetesi! Mbona watu mmemshambulia badala ya kutudhibitishia kama kweli tumpe vidonge vyake au uongo!
Pamoja kuwa ni tetesi kuna mod mmoja kafuta posts zangu kwa mahaba yake zingine kaziacha kazi kweli.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom