Elections 2010 Rais Kikwete ndani ya Nzega kesho

Ilulu

Senior Member
Mar 22, 2008
161
31
Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kuwa mgombea wa Urais kwa kupitia Chama Cha Mapinduzi atakuwapo katika Wilaya ya Nzega hapo Kesho... Tusubiri Ahadi kwa ndugu zangu wa Mji huu hasa ukizingatia ajira zinatokana na Mgodi zinafikia kikomo (Mgodi unafungwa 2012)
 
Naomba niwe shehe Yahya na kutabiri kuwa ataahidi Barabara ya lami toka Nzega hadi Tabora (ndio kilio kikubwa kwa wilaya ya Nzega) wakati pesa hana na hakuna mahali kwingine anapoweza kwenda kuomba tena kwani keshawapitia wahisani woooooote, labda aanze mzunguko wa pili, watatu wa nne etc
 
Awaahidi mashimo ya migodi yalioachwa yatageuzwa kuwa mabwawa ya kufugia samaki...ili japo wafaidike maana madini hayajawanufaisha.
 
Back
Top Bottom