The ignorant man always adores what he cannot understandKwa kweli JK anaijua hii nchi, kumbe CDM ni waongo bana hawana lolote. Sikieni data za ukweli za mpango wa maendeleo wa mwenye nchi na mwenye madaraka ya dola bana
CDM imemshilka kunako. kila mara hakosi kuiongelea
huyu jamaa muongo tume maliza mwaka sasa home bila kazi.. soon wadogo zetu wanatu join. sasa izo ajira ziko wapi??
Ahaaaa ahaaaa umeona mkuu halafu wale crap wenzake wanacheka na kushangilia wakitoka hapo utasikia kuna maandamano ya kumpongeza kwa hotuba nzuriKuuza umeme nje!!!!!!!!!!!!!! upuuzi mkubwa, huu tulionao tu haututoshi, kitambaa cha chupi tunang'ang'aniza tutoe suti, lol akili nyingine bwana haziendani na nguo wanazovaa
Sikia data za ukweli za Dr. JK , tizama TBC bana
Hana hata uwezo wa kulizungumzia hili maana litakula kwake, mishahara yenyewe tu imekuwa ishuhata hajaongelea ajira,uyo jamaa ni muongo sana! Ajira kwanza zitoke wapi wakati serikali imeishiwa. Wahitimu wa vyuo mwaka jana 2010,99% hawajapata kazi wala kuitwa interview, kumbuka mwezi huu tena zaidi ya wahitimu elfu7 wanaingia mtaani?! Jamani,hali ya ajira bado ni tete!
Kuuza umeme nje!!!!!!!!!!!!!! upuuzi mkubwa, huu tulionao tu haututoshi, kitambaa cha chupi tunang'ang'aniza tutoe suti, lol akili nyingine bwana haziendani na nguo wanazovaa
View attachment 31631mtoto wa mkulima nae yupo