Rais Kikwete na mipango ya uchumi kwa Tanzania miaka 5 ijayo

Alisema ukusanyaj wa kod umepanda kwa uwiano wa bilion 450 kwa mwez.
 
Anaelezea, mpango wa maendeleo

Anasema,

Bajeti ya serikali kukaribia bil 14.

mkuu vp? Mbona mi nimesikia Tbc1 kasema inakaribia tril.13.5 mwaka kesho inaweweza kufikia tril14. Sasa wewe mambo ya bil.14 yanatoka wapi?acha kumchakachua ww! Kwanza iyo unayosema bil14 ni asilimia 10 ya bajeti ya wizara ya ujenzi ambayo inafikia bil149. Mkuu kama haujui currency za Tanzania basi google kabla ya kuandika hapa maana bil14 hata kulipa mishahara ya walimu tu,haitoshi,je ndo bajeti ya Taifa? Jf is 4 Great Thinkers. Thanks mkuu.
 
Awapiga kijembe CDM, kwa lawama na kuuza sura twenye TV, kulalamikia kila kitu.

Anadai CDM wanafanya maandamano nchi nzima kutukana, hahaha nimeipenda hii,

Mmh! Nafikiri raisi pia awe makini kwenye kuzungumzia CDM maana kuna mawili hapa: ukiona mtu anamzungumzia sana mtu mwingine ujue either anamkubali sana au anamkera sana sasa sijui kwa JK CDM wana effect hipi kwake kati ya hayo mawili.
 
mkuu vp? Mbona mi nimesikia Tbc1 kasema inakaribia tril.13.5 mwaka kesho inaweweza kufikia tril14. Sasa wewe mambo ya bil.14 yanatoka wapi?acha kumchakachua ww! Kwanza iyo unayosema bil14 ni asilimia 10 ya bajeti ya wizara ya ujenzi ambayo inafikia bil149. Mkuu kama haujui currency za Tanzania basi google kabla ya kuandika hapa maana bil14 hata kulipa mishahara ya walimu tu,haitoshi,je ndo bajeti ya Taifa? Jf is 4 Great Thinkers. Thanks mkuu.

Mkuu wizara ya ujenzi ni trilion approx 1.5 ambayo ni kama bilion 1500.
 
Billion 14 zinatosha kujenga jengo la Benjamini Mkapa Pension Towers bila kuweka umeme na kupiga rangi. Labda dola au trillion hizo. Hata hivyo hesabu ni janga la Taifa. Pole
nani kakwambia mkuu hata hilo jengo hazitoshi kabisaa!
 
By the way hayuko hapo kuelezea bajeti, kwani hilo ni jukumu la waziri mwenye dhamana.
Bila shaka kilichomleta ni kutimiza agizo alilopewa kutimiza kabla ya saa 48 kwisha.
sio lazima kujibu kama hujui_kasome uelimike kwanza
 
Yaani nimefungua Tv tu ..namkuta anazungumzia mambo ya "mbogamboga " na "maua"
Nimeizima nisije nikaharibu siku yangu.
 
Mmh! Nafikiri raisi pia awe makini kwenye kuzungumzia CDM maana kuna mawili hapa: ukiona mtu anamzungumzia sana mtu mwingine ujue either anamkubali sana au anamkera sana sasa sijui kwa JK CDM wana effect hipi kwake kati ya hayo mawili.
we ujue kakosa usingizi mwenye nyumba hahahah mengine usijiulize!
 
Anaelezea, mpango wa maendeleo wa miaka mitano 2011/20012 - 2015/2016

Anasema,

Bajeti ya serikali kukaribia trilion 14.

huyu si alisema hana cha kuongea mwisho wa mwezi. cha kuongea leo amekitoa wapi? what a hell is he doing now? au ni just facial expression.
 
Hivi kuna mtu anamuelewa JK, mimi mbona simuelewi jamani? haoni aibu kusema eti kila kitu kinatushinda, hata maparachichi yanatushinda kuuza, hata mchicha kwenye supermarkets utoke nje. Huyu ndie Rais anaelalamika bila kuwa na solution duniani.
 
Nadhani ameiga Marekani na South Africa.
Kila mwaka Rais wa Marekani anakuwa na State of the Union address. Hapa ndio rais wa nchi anaeleza mipango/vipaumbele vya serikali kwa mwaka wa fedha unaofuata. South Africa nao wana mtindo kama huo Rais anahutubia bunge kutoa vipaumbele vya mwaka unaofuata.

Sasa naona hapa Rais wetu ameiga lakini katika kuiga huko anaongea na nani? wabunge? baraza la mawaziri, au watendaji wakuu wote wa serikali (including the police?). Kwenye TV naona kama baraza la wazee, watu wa ccm including wabunge na wapambe wengine wa namna hiyo! Inafanana sana na semina elekezi!
 
Anatangaza mara ameenda london, mara ubelgiji, analalamiki tunashindwa kuuza hata mbogamboga, nchi za nje, ksha anamgeukia pinda, et mtoto wa mkulima, watu wanakenua tu meno.
 
Anampango wa kuzalisha umeme mwingi tuweze kuuza nchi za jiran, ana orodhesha miradi.
 
jamani rais anspolalamika eti mboga hatuwezi kuuza maua yametushinda sasa nani ambaye ataongoza hii mipango km yeye analalamika? rais wa ajabu sana huyu kwa nini asiwe na mipango tekelezi sio hii ya porojo tu kwenye majukwaa
 
Back
Top Bottom