Rais Kikwete, Mstaafu Rais Mkapa wawasili Songea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Kikwete, Mstaafu Rais Mkapa wawasili Songea

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by engmtolera, Jun 5, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Jun 5, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Rais Mstaafu Benjamin William Mkapa na mkewe, na Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa nyakati tofauti wametua jana katika uwanja wa ndege wa Ruhuwiko Songea kwa ajili ya kuhudhuria shughuli za Jubilee ya Askofu mkuu wa Jimbo kuu la Songea Mhashamu Norbert Mtenga.


  8500981.jpg 3770868.jpg


  sasa jana kukawa na uzushi kuwa Msafara wa Raisi umepata jari DODOMA,bado sipati picha kamili songea alikwenda saangapi?


   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Tehe nadhani ile dhana yake ya udini kaamua aipuuze kwanza
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,325
  Likes Received: 19,492
  Trophy Points: 280
  [​IMG][​IMG]
   
 4. Candy kisses

  Candy kisses JF-Expert Member

  #4
  Jun 5, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Anatakiwa atuombe radhi kwa kutuingza kwenye dhambi ya udini,anajaribu kupaka mafuta juu ya kidonda hicho lakin dhambi hyo lazima imuhukumu,shame on you.
   
 5. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nashukuru kuwa wameenda kwenye ibada ya askofu Mtenga. Hicho ni kichwa kilichoenda shule na kilichotulia. Tusubiri jinsi atakavyoipasha serikali ukweli wa mambo kuhusu kamata kamata na mauaji ya raia. Napenda niisikie ibada hii na ninaombea irushwe na radio maria.

  Mungu mbariki Askofu Mtenga ili asimame katika kweli kama ilivyo kawaida yake. Aseme bila hofu na akemee ili nuru iwepo.
   
Loading...