TOWNSEND
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,598
- 460
kazi yao itakuwa kupiga makofi na kushangilia chochote hata mheshimiwa akipiga miayoMalori Leo yanasomba wazee wachovu ! Watapewa ubwabwa na shs 5000! Bila Shaka wazee wa kanzu watakuwa wengi
kazi yao itakuwa kupiga makofi na kushangilia chochote hata mheshimiwa akipiga miayoMalori Leo yanasomba wazee wachovu ! Watapewa ubwabwa na shs 5000! Bila Shaka wazee wa kanzu watakuwa wengi
Hivi Dar es salaam ndo kuna wazee tu; mikoa mingine hakuna wa rika hilo?. YAonekana wazee wa Dar ni wazee wa akili mbovu!
Ingekuwa mnasamini usomi mbowe aka disco joker asingekuwa mwenyekiti wenu.
Unajuwa sanaa inayofanyika hapo huyo Kakobe anaingia hapo kwa kofia ya viongozi wa madhehebu ya dini, hili huwa linafanyika kuballance protocal.Huyo mwenye shati la maji ya bahari nyuma ya Mzee Mweinyi nae ni .........mhhhh mzee wa Dar es salaam
sijawai kusikia mweshimiwa kaongea na wazee wa arusha,mbeya,mwanza kwani huko hakuna wazee?????
JK ni Rais kilaza kuliko marais wote duniani lakini bahati nzuri kwake ni kuwa hata anaowaongoza nao ni vilaza na makondoo ya kutupwa.