Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,471
Kutakuwa na pilau?
Nadhani litakuwepo si unajua tena wabongo na wanugu hawana tofauti. Mnugu inabidi umuwekee kuku tu. Tayari umemnasa.
Kutakuwa na pilau?
Nadhani litakuwepo si unajua tena wabongo na wanugu hawana tofauti. Mnugu inabidi umuwekee kuku tu. Tayari umemnasa.
Hehehehehe...eti mnugu mwekee kuku tu...lakini kweli aisee. Ila mimi napenda sana soul food aisee...hasa wale wanaokuwa wamepikwa na asali....aaah acha bana....maisha matamu bana...khaaaaaa
NN,
Pilau ingekuwepo ungeenda?
Tanzania tutaendelea kukamuliwa hivi hivi kila kukicha kwa sababu ya kuendekeza politics kwenye mambo yanayohitaji taaluma ya fani inayohusika.
Mimi pia nilikuwa naipenda soul food lakini inaleta matatizo baadaye kwa sababu ya mafuta. Siku hizi nipo kwenye saladi ingawaje kutafuna majani naona haipandi.
"If you don't take time for wellness, you are going to have to take time for sickness" - Mavitabu ya Zakumi
Lo. Mpaka huyu Sind Bad aondoke IKULU, NCHI ITAKUWA IMEFILISIKA! Sijui tufanyeje.
"If you don't take time for wellness, you are going to have to take time for sickness" - Mavitabu ya Zakumi
people knows what dicota is (do not underestimate JF members), ndio maana wanahoji kwa nini JK atoke TZ to marekani kwa ajili ya dicota. is mr balozi not enough??Sisi waTanzania bwana! Sometimes nadhani Ndivyo Tulivyo!! Yaani katika post hii yote nobody even bothered to look further than the opinions forwarded by kinepi_nepi...and I find that to be quite amazing.
Has anyone bothered to ask what is DICOTA? Lengo, madhumuni, etc etc? So why the hell do we go and start rambling about a thing that many of us up in here don't even seem know? Come, come, Tanzanians, this is too much now!! Khaaa!!! (BTW, Some of the ideas that people have been circulating on this topic seem to be sound to a certain degree, though)
Si kweli waTanzania waishio Marekani hawajaalikwa - as far as I know information hizi zilitumwa kwa mailgroups kibao zilizopo Marekani kama vile ile ya waishio Dallas, TX - www.dallasbongo.com; ile ya waishio Houston, TX, wa Minnesota, DC etc. Kwa wale members wa Face Book habari hizi zimo mule and I think Michuzi alitoa kama sijakosea. Humu ndani ya JF I sincerely think some people got it individuallyly - I did.
http://www.dicotaus.org/
Ukiritimba wa kuinvest Tz kwa waTz ni mkubwa na hata hao wandugu ukiwapelekea mtaji watautafuna wote ,hivi hujasikia kama wakulima wanakula mbegu ,ndo maana yake.Mimi naona tatizo ni Watanzania kutharauliana! Je Watanzania wa Marekani ni kiasi gani wanasaidia nyumbani kwa kutuma pesa na biashara?. Kwani kuna ubaya gani raisi wa Tanzania kuongea na Watanzania anapokuja kwenye mkutano wa UN. Watanzania wanafanya kitu cha maana kwenye hili na raisi anatakiwa kuonyesha support yake. Mimi naona ni bora Raisi aongee na watanzania na kuwashauri wa invest nyumbani badala ya kuja kuongea na watu bila kujali Watanzania.