Rais Kikwete kuwajibishwa na serikali ya Marekani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Kikwete kuwajibishwa na serikali ya Marekani?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Matola, May 10, 2011.

 1. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Wakuu poleni na majukumu.

  Ninachokiandika hapa sio udaku wala tetesi, ndio ukweli wenyewe. Wakati serikali ya Pakistani sasa hivi ipo katika hali ngumu kuwapa Wamarekani maelezo ya kuridhisha na ya kujitosheleza ilikuwaje intelijensia ya Pakistan isijue kwamba Osama alikuwa Pakistan, kosa hilo hilo linafanywa na rais wetu na vyombo vyetu vya intelijensia.

  Kwa wakazi wa Kiwalani wilaya ya Ilala Dar esalaam, eneo linaitwa CHADEMA, hapo ndio Temple ya Al Qaeda ambao wanatumia mwamvuli wa uislamu kama kawaida yao, mahali hapo kuna msikiti mkubwa unaitwa MARKAZ na unamilikiwa na Wapakistani ambapo pembeni yake pia wamenunua compound kubwa sana ambayo inafanana kwa kila kitu na sifa zote kama ile alimouwawa Osama Bin Laden.

  Kinachosikitisha, Compound hizo ziko barabarani kabisa na kuna vijana wa madrasat kuanzia umri wa miaka 3 ambao wanaishi boarding humo ndani ya hizo compound huku wakifundishwa karate na kungfu na kuwabrain wash, na baadae hutoweka kwenda kupigana JIHAD sehemu mbali mbali duniani na kuletwa wengine.

  Hawa moja kwa moja ndio link kuu ya kupitishia pesa kuwapelekea Al Shabaab ya Somalia ambalo ni tawi la Al Qaeda. Sasa nauliza, kama mimi raia wa kawaida nina uwezo wa kujua ule msikiti na compound zake ni terrorist link, inakuwaje vyombo vyetu husika vinashindwa kulijua hilo?

  Je, siku Wamarekani wakivamia pale na kumkamata Ayiman Al Zawahir, serikali yetu itakuwa na uwezo wa kusema walikuwa hawajui kinachoendelea? Na ili majirani wasiwakaribie, wamenunuwa nyumba zote zinazowazunguka kwenye hizo compound kwa urefu wa mita 100 kila upande. Na mfanikishaji wa mpango huu ni Osama, huyu wa Markazi ambaye anajifanya kama anataka kujenga viwanda wakati hiyo ni gia tu hawataki kuwe na majengo jirani ya kufuatilia mienendo yao.

  Muhimu hapa cha kunote: Compound zote mbili zina sifa zote kama ile alimouwawa Osama Bin Laden.
   
 2. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usimuamshe aliyelala
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mmmmh nitarudi
   
 4. Mbaha

  Mbaha JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 697
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Goose pimples zimeniota mwili mzimaaaaaaaa!!!!
   
 5. BECHO

  BECHO Member

  #5
  May 10, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 43
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 25
  Mbona hatari hii tumeibeba wenyewe! Hii nchi sijui wenye nayo tumelala!!
   
 6. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  Mkuu waweza piga picha hizo compound.tuletee picha tafadhali....

  Hao watoto ni wa Kitanzania?
   
 7. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  hizo nyumba ni kama hii?

  [​IMG]
   
 8. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mimi ningekua raisi,ningekua na watu wa kunikusanyia kila
  aina ya habari,uwe umbea au ukweli na kuufanyia kazi!

  So far Tanganyika tumewahi onja joto ya Usama,
  kwa kukanyaga nyoka huko,kila habari au tetesi au ujumbe
  tunao upata ni wa kufanyia kazi,wakaangalie kama ni kweli!

  sio kwa kupeleka polisi na vigelegele vya magari yao,(najua ndicho watakacho fanya sijui wana fundishwa wapi hawa watu).
  wapeleke wapelelezi,watakao act kama member au waingie ndani ya hizo nyumba kwa
  ujanja wowote ule wa kutaka kushiriki kwa kila jambo wanalofanya hao watu,..
  lazima ata note plan zao!

  Lakini,nakuahidi mkuu,....hakuna kitakacho fanyika:-
  1.kila mtu ni mwanasiasa na
  2.hakuna mwenye uchungu na nchi,hadi tufumuliwe tena ili tuonekane kwenye ramani ya
  dunia,tuonewe huruma,tupate misaada ya huruma,tuchukue 50% toka kwenye misaada hiyo,...

  Kama hao watu wapo kweli,basi mafanikio yao yatakua 100%,..naomba yasinikute.
  vi "intelijensia vyote" viko kwenye maandamano ya chadema,chadema wakisitisha maandamano,..
  intelijensia inachukua likizo,....poor Tanganyika

  Simple,kama wangekua na uchungu na Tanganyika wangefanyia kazi,ila hili ni kama dili
  kwao na wanaanza ku-calculate profit out of it,...kama naangalia 24 vile,...
  ila kina Jack Bauer wapo vile vile
   
 9. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,640
  Likes Received: 1,428
  Trophy Points: 280
  naifahamu hiyo sehemu ila details ulizotoa sina uhakika nazo..

  but that place luks suspicious, watu wanaosali pale tofauti kabisa ...:ranger:
   
 10. LINCOLINMTZA

  LINCOLINMTZA JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 1,640
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Huyu mkuu naye kaja na kali ya mwaka. Duh, Tanzania imefikia huko tena, basi kazi ipo.
   
 11. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #11
  May 10, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Watoto ni wa Kitanzania ambao wanapaswa kuwa kwa wazazi wao ukiwaangali kwa umri, haiingii akilini mtoto wa miaka 3 mpaka 4 umweke boarding kwa mafundisho ya madrasat na kumfundisha kareti, hapo ni mujaheeden wanazalishwa kwa ajili ya JIHAD na ugaidi tu. usalama wa Taifa sasa kazi yake ni kusubiri uchaguzi ili kuisaidia ccm kuiba kura, nchi imezungungukwa na magaidi wao wamelala tu.
   
 12. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  kwa osama pako hivi

  [​IMG]  [​IMG]


  [​IMG]


  [​IMG]  kama na hapo kiwalani pako hivi kuna hatari kubwa........maana mjenzi wa kule abbottabad atakuwa ndo huyo aliyejenga hapo...maana mmtu mmoja alichora ramani na kujenga......maana yake jamaa kaishi hapa bongo kwa mda mrefu tu.........kazi ipo
   
 13. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Hilo eneo linaloitwa CHADEMA....naona kuna utata, ngoja kwanza, kuna connection yoyote hiyo sehemu na Chama Cha Demokrasia(CHADEMA)??tusije kuingila mlango wa kutokea hapa!!
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  May 10, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Ndicho nilichoamanisha, yaani kuta zote zinaipita ghorofa ya kwanza, sasa wanaficha nini humo ndani? dini na usiri wapi na wapi?
   
 15. s

  sawabho JF-Expert Member

  #15
  May 10, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 4,502
  Likes Received: 946
  Trophy Points: 280
  Jukumu la kulinda nchi ni la wananchi wote, toa taarifa hizo za Kiitelijensia kwa vyombo husika.
   
 16. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #16
  May 10, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,083
  Likes Received: 881
  Trophy Points: 280
  wanaandaa magaidi wa baadae.
   
 17. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #17
  May 10, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Hembu dadavua kidogo...wana utofauti gani??
   
 18. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #18
  May 10, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  ...mmhhh,keshokutwa nina safari ya dar LAZIMA nifike hapo kushuhudia kabla SEAL hawajaharibu hiyo compound. nafikiri SEAL Team 7 itatua soon. mimi hata kwenye bus akipanda m'mama kavaa ninja au m'baba na midevu kama msitu wa amazoni na vikanzu vyao njiwa huwa nashuka. misikiti mingi ni ya kuimulika!!
   
 19. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #19
  May 10, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,274
  Trophy Points: 280
  Edwin mtei ndio mtu wa kwanza kufunguwa Tawi la Chama cha upinzani huko kiwalani kwa sababu tawi liko barabarani ndio maana makondakta wa daladala kituo wakakibatiza jina la CHADEMA, lakini mpaka sasa sio kituo tu bali eneo lote linaitwa CHADEMA.
   
 20. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #20
  May 10, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ha ha haaaaaaa hiyo sehemu watu wengi sana wanaifahamu ni Islamic seminary na hakuna mtu yeyote anae zuiwa kuingia. Hata ww ukienda watakukaribisha tu mkuu
   
Loading...