Rais Kikwete kuwa mgeni rasmi tamasha la maombi ya kufunga mwaka

amakyasya

JF-Expert Member
Jun 26, 2013
3,463
0
Rais Kikwete amealikwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la maombi ya kuliombea taifa na kufunga mwaka mnamo tarehe 31, desemba 2014.
Source : Wapo radio fm.
My take: Ni muda muafaka kwa JK yeye mwenyewe kufanyiwa maombi kwa majanga, madudu yote yaliyofanyika chini ya uongozi wake.
 

Heaven on Earth

JF-Expert Member
Mar 21, 2013
37,147
2,000
Huyu raisi anapenda shughuli jamani.., kwenye misiba yupo.., matamasha yuko, harusi yuko bado kumuona kwenye vigodoro tu,
 

KING COBRA

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
2,782
1,225
Rais Kikwete amealikwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la maombi ya kuliombea taifa na kufunga mwaka mnamo tarehe 31, desemba 2014.
Source : Wapo radio fm.
My take: Ni muda muafaka kwa JK yeye mwenyewe kufanyiwa maombi kwa majanga, madudu yote yaliyofanyika chini ya uongozi wake.
JK anaogopa Waraka wa Kakobe!!
 

kinauche

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
7,683
2,000
Rais Kikwete amealikwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la maombi ya kuliombea taifa na kufunga mwaka mnamo tarehe 31, desemba 2014.
Source : Wapo radio fm.
My take: Ni muda muafaka kwa JK yeye mwenyewe kufanyiwa maombi kwa majanga, madudu yote yaliyofanyika chini ya uongozi wake.
Natamani aokoke awe anaitwa Jackson
 

KING COBRA

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
2,782
1,225
Rais Kikwete amealikwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la maombi ya kuliombea taifa na kufunga mwaka mnamo tarehe 31, desemba 2014.
Source : Wapo radio fm.
My take: Ni muda muafaka kwa JK yeye mwenyewe kufanyiwa maombi kwa majanga, madudu yote yaliyofanyika chini ya uongozi wake.
Askofu Gamanywa ni Kibaraka wa JK , ameasi kazi ya Mungu!
Kikwete ni Muislamu ambaye imani yake inatambua kuwa Ukristo ni Ukafiri sasa ana kuwa Mgeni rasimi Hapo unakarisha adui wa Ukristo .
Waislamu akiwemo Jk wanasema Yesu si Mungu harafu unamkaribisha huyo huyo anayemkataa Yesu kuwa Mgeni rasimi kwenye Maombi ya Kumuomba YESU ajibu??? Hapo Kuna jambo!!!RAIS KIKWETE AZINDUA SERA YA MTANDAO WA VIKUNDI VYA MAADILI NA UCHUMI TZ (MVIMAUTA)

Home » Unlabelled » RAIS KIKWETE AZINDUA SERA YA MTANDAO WA VIKUNDI VYA MAADILI NA UCHUMI TZ (MVIMAUTA)

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na vijana baada ya kuzindua Sera ya Mtandao wa Vikundi vya Maadili na Uchumi Tanzania (MVIMAUTA) iliyoasisiwa na Askofu Mkuu Sylvester Gamanywa, Mwangalizi Mkuu wa Kitaifa, wa WAPO Mission International na Mwasisi wa Maono ya Harakati za Maadili kwa Kizazi Kipya katika ukumbi wa BCIC Mbezi Beach jijini Dar es salaam Jumamosi, Februari 15, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akinyanyua juu kitabu baada ya kuzindua Sera ya Mtandao wa Vikundi vya Maadili na Uchumi Tanzania (MVIMAUTA) akiwa na mwasisi wake Askofu Mkuu Sylvester Gamanywa, Mwangalizi Mkuu wa Kitaifa, wa WAPO Mission International na Mwasisi wa Maono ya Harakati za Maadili kwa Kizazi Kipya katika ukumbi wa BCIC Mbezi Beach jijini Dar es salaam Jumamosi, Februari 15, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa kuzindua Sera ya Mtandao wa Vikundi vya Maadili na Uchumi Tanzania (MVIMAUTA) iliyoasisiwa na Askofu Mkuu Sylvester Gamanywa, Mwangalizi Mkuu wa Kitaifa, wa WAPO Mission International na Mwasisi wa Maono ya Harakati za Maadili kwa Kizazi Kipya katika ukumbi wa BCIC Mbezi Beach jijini Dar es salaam Jumamosi, Februari 15, 2014.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na msanii wa vichekesho ambaye pia ni mhubiri na mwimbaji wa nyimbo za injili Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja Mkandamizaji baada ya kuzindua Sera ya Mtandao wa Vikundi vya Maadili na Uchumi Tanzania (MVIMAUTA) akiwa na mwasisi wake Askofu Mkuu Sylvester Gamanywa, Mwangalizi Mkuu wa Kitaifa, wa WAPO Mission International na Mwasisi wa Maono ya Harakati za Maadili kwa Kizazi Kipya katika ukumbi wa BCIC Mbezi Beach jijini Dar es salaam Jumamosi jana. Picha na IKULU

 

KING COBRA

JF-Expert Member
Nov 10, 2011
2,782
1,225
Rais Kikwete amealikwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la maombi ya kuliombea taifa na kufunga mwaka mnamo tarehe 31, desemba 2014.
Source : Wapo radio fm.
My take: Ni muda muafaka kwa JK yeye mwenyewe kufanyiwa maombi kwa majanga, madudu yote yaliyofanyika chini ya uongozi wake.

Askofu Gamanywa aliwahi kuhamasisha Matumizi ya Kondom angalia CV yake Hapa
Yeye ni Mshauri na msemaji wa Serikali Fuatilia CV utangundua!!!

Personal Historical Background


Full name: Sylvester Sospeter Gamanywa


Date of Birth: 6/6/1957


Place of Birth: Kanazi, Bukoba, Tanzania


Nationality: Tanzanian


Tribe: Mhaya


Marital Status: Married with four children
Education & Professional Background


2004-2005 M.A. Religion and State Relations, Trinity International University (Delaware, U.S.A)


2000-2005 M.A. Christian Leadership and Church Management, Trinity International University (Delaware, U.S.A)


1991-1994 B.A. Biblical Theology, Trinity International University (Delaware, U.S.A)


1989-1990 Diploma in Christian Relations/Journalism, Globe University-Dallas Texas U.S.A.


Church Leadership Experience
1. WAPO MISSION INTERNATIONAL (1990 TO DATE)
This is a Christian Society Registered in Tanzania as network for national and international churches and Organizations and does operate ministerial, Media and social programs as well as partnership with the Government in Public and Private Partnership agreements


Position
1. Founder and leader
2. National General Overseer


Responsibilities
1. Presiding national leadership board meetings
2. Monitoring Registered Trustees
3. Presiding National Conferences


2. BIBLICAL COUNSELING AND INTERCESSION CENTRE (1992 TO DATE)
This is one of the Mega-churches based in the city of Dar es Salaam with 4500 memberships founded and operating legally under WAPO MISSION INTERNATIONAL


Position:
1. Founder Bishop
2. Senior pastor


Responsibilities
1. Supervising 50 co-pastors and 400 cell-leaders
2. Leading Sunday services
3. Personal counseling for special cases
3. WAPO RADIO FM STATION (2002-TODATE)
This is a most listened Christian FM Radio station based in the city of Dar es Salaam with coverage of over 10 million people operating under WAPO MISSION INTRENATIONAL


Position
1. Founder leader
2. Editorial board chairman


Responsibilities
1. Supervising radio management team
2. Monitoring radio programs' content and quality
4. MSEMAKWELI NATIONAL CHRISTIAN NEWSPAPER (1993-TODATE)
This is the first and largest National Christian newspaper registered in Tanzania and legally owned by WAPO MISSION INTERNATIONAL


Position
1. Founder leader
2. Editorial board chairman


Responsibilities
1. Supervising newspaper editorial management team
2. Sunday Columnist


Governmental Leadership Experience
1. TANZANIA COMMISSION FOR AIDS (2004-2007)
(This Commission is a governmental institution formed and supervised under the Prime Minister's Office in order to coordinate HIV/AIDS national activities in which the Prime Minister appoints all commissioners)


Position
1. The Commissioner
2. National Christian Representative


Responsibilities
1. Attending the TACAIDS governing board meetings
2. Personal Advice to the Prime Minister
3. HIV/AIDS prevention campaigns activist


2. PRESIDENT MKAPA HIV/AIDS FOUNDATION (2006-TODATE)
(This foundation was formed by and for the former Tanzania President, His Excellence, William Benjamin Mkapa)


Position
1. The founder Trustee
2. National Christian Representative


Responsibilities
1. Attending the Foundation governing board meetings
2. Professional advice to the Settler (Former President)
3. HIV/AIDS prevention campaigns activist
3. THE YOUNG GENERATION MORALS RESTORATION PROGRAM (2010-2020)


This is a new program officiated by The Tanzania President, His Excellence Jakaya Mrisho Kikwete and is focused and committed to make sure the young generation is rescued from distractive behavior and become responsible generation for the nation


Position
Program founder


Responsibilities
1. Mobilizing church leaders and the government to support the Program
2. Organizing and conducting national youth seminars and conferences
3. Provision of Biblical counseling focused on the behavior change in society


Business Administration Experience
1. BSHG Consultants Ltd (2007-todate)


This is a consultancy company registered in Tanzania to provide business and management consultancy and promoting enterpreneuwaship for Small and Medium business projects in Tanzania. Everything can be found on its website address: Bishop Gamanywa Foundation - Home


Position
1. Founder Director
2. Chairman for Board of Directors


Responsibilities
1. Business and management consultancy
2. Coordination of business professionals in designing new business projects


2. TAN WASTE ENERGY LTD (2009-todate)
This is a newly registered company dedicated to partner with Tanzania government in MSW projects; including converting Solid Waste to Ethanol by using GPV technology. More details may be found on its website address: www.tanwasteenergy.com


Position
1. Founder Director
2. Chairman for Board of Directors


Responsibilities
1. Presiding national board meetings
2. Spokesman before the government
3. International representative


SPECIAL PUBLICATIONS
1. Biblia isemavyo kuhusu UKIMWI (1994)
(What does the Bible says about HIV/AIDS)


2. Kutenganisha dini na serikali (2000)
(Separation of Religion and State Affairs)


3. Wajibu wa Kanisa kwa waathirika wa UKIMWI (2004)


(The role of the church in caring for people living with HIV/AIDS)


4. Hatima ya Amani katika Tanzania (2005) (Destine for the peace in Tanzania)


5. Maadili kwa Kizazi Kipya (2010) (Morals for the young generation)


Signed SmSGamanywa Date: June 2011
 

Kyatsvapi

JF-Expert Member
May 15, 2009
317
225
naona hujui ulitendalo. hebu jiulize lini Israel iliwahi kufanya maombi kulinda nchi yao zaidi ya kutengezea silaha za kisasa za kujilinda?
Mkuu,

Un uhakika na hili ulisemalo? Kweli? Wakati mwingine ukiwa na kitu kinakutatiza jaribu hata kugoogle kabla hujaendelea 'kuargue'.


Tafakari.
 

lukindo

JF-Expert Member
Mar 20, 2010
8,481
2,000
Hivi hawa wanaomwalika hawajasikia jinsi alivyoshauriwa na Daktari aliyemfanyia oparesheni ya tezi dume juu ya kupumzika!
Muacheni rais wetu ajipumzikie ili mwishowe asije kudondoka majukwaani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom