Rais Kikwete kuhutubia wakazi wa Dar mchana huu Mchikichini, Ilala

mpango wa Mungu haina maana ingine yoyote zaidi ya kuwa ni janga la asili halikwepiki. kuna ubaya gani hapo?

ndugu hapa na pinga mabondeni watu walishakatazwa kujenga na chengine hayo matatizo wamejitakia wao na uzembe wa serikali kutokuwa wakali wa mambo muhimu kama hayo na hapo mungu hayupo kabisa usimshirikishe..
 
Now that you mention that kaneno wazamiaji, nimekumbuka kitu. Juzi juzi hapa kwenye taarifa ya habari tuliambiwa kuwa wazamiaji haramu kutoka Somalia wamekamatwa Arusha. Kwa nini serikali hii inakosa ubunifu wa kuwatumia kuzamia tunapopatwa na majanga badala yake tunaishia kuwafungulia mashtaka heroes hawa?

Ni suala la kuwa-dis'haramu na kuwatunza vyema for fyucha yuz. Wadau wa mikakati mnasemaje?

khaaaaaaaa
.....Khaaaaa TOKA UENDE ULAYA, misamiati ya kiswahili imeisha kichwani........
 
Ni Rais asiyekuwa makini.
Kumbuka kulitokea wafanyakazi wa mgodi kuangukiwa na kifusi nchi Mexico,Rais wa nchi hile alijumuika na waokoaji muda wote pale kwenye mgodi.
Lakini Rais wetu hupo Ikulu nakunywa kahawa ,kasubi maji yamepungua heti anazunguka na helikopta.Katoa msaada gani kwa wananchi wake?
Jana alikuwa wapi?

Rais wetu apendi kupata shida wala karaha na watu wake ,Ongera Rais kwa hilo we kaa Ikulu
kwanini asiutubie Jangwani ?

unaufahamu vizuri uwanja wa Jangwani?. Jaribu kutembelea maeneo hayo then utanipa jibu kama kweli ni rahisi kuutumia huo uwanja kwasasa.
 
Ni Rais asiyekuwa makini.
Kumbuka kulitokea wafanyakazi wa mgodi kuangukiwa na kifusi nchi Mexico,Rais wa nchi hile alijumuika na waokoaji muda wote pale kwenye mgodi.
Lakini Rais wetu hupo Ikulu nakunywa kahawa ,kasubi maji yamepungua heti anazunguka na helikopta.Katoa msaada gani kwa wananchi wake?
Jana alikuwa wapi?

Rais wetu apendi kupata shida wala karaha na watu wake ,Ongera Rais kwa hilo we kaa Ikulu
kwanini asiutubie Jangwani ?

Jf ina members wengi sana!
 
Back
Top Bottom