Rais kikwete kuchorwa kwenye zulia la kukanyagia kwa uchafu wake anastahili?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais kikwete kuchorwa kwenye zulia la kukanyagia kwa uchafu wake anastahili??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jul 5, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jul 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 26,817
  Likes Received: 2,397
  Trophy Points: 280
  hivi raisi wa nchi anapochorwa kwenye zulia la kukanyagia mns akili yake iko kama zulia lakukanyagia
  je huyu mhe kumtuma mkewe apokee zulia lenye sura yake anastahili??
  Kwenu wadau naomba maoni kablayakuwakilisha itv saa mbili ka sorobo tfdl
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Jul 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 26,817
  Likes Received: 2,397
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 3. A

  Aine JF-Expert Member

  #3
  Jul 5, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,615
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nadhani hajui maana yake, yeye anajua ni zawadi tu, kazi kweli kweli
   
 4. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #4
  Jul 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 26,817
  Likes Received: 2,397
  Trophy Points: 280
  nadhani huyu jamaa ni katika watanzania wachache wenye akili waliogundua akili za huyu rais zimefanana na nini??
  hope anastahili kufanan na zulia la kukanyagia chini nadhan akiliona atashtuka hadi niliowapa uraia wamenishtukia ajirekebishe
  may be
   
 5. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #5
  Jul 5, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,421
  Likes Received: 139
  Trophy Points: 160

  Zulia laweza kuwekwa ukutani pia......mimi napinga khanga....yaani wanamkalia kabisa
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Jul 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 26,817
  Likes Received: 2,397
  Trophy Points: 280
  afadhali ukaliwe kuliko kukanyagwa mkuu loh
   
 7. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #7
  Jul 5, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,248
  Likes Received: 208
  Trophy Points: 160
  jamaa aliyefanya hivyo ni miongoni mwa magreat thinkers, maana ameona akili yake....
   
 8. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #8
  Jul 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 26,817
  Likes Received: 2,397
  Trophy Points: 280
  mod embu tujaribu kumleta jf kama mgeni atupe akili alimfikiriaje jk
  haya jamani ngoja nikaangalie simba akifungwa
   
 9. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,233
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Mkuu Pdiddy
  Hii ni picha ya ukutani nzuri sana!
   
 10. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #10
  Jul 5, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,665
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135

  kukanyagwa?? utata.
   
 11. m

  mlavie JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2011
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 233
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  naskia rahaaaaaaa! kucheka,
   
 12. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 55,473
  Likes Received: 16,920
  Trophy Points: 280
  Hilo ni la kutundika unanini wewe.
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Jul 5, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 26,817
  Likes Received: 2,397
  Trophy Points: 280
  ahhhhaaahhhh sijafika huko
   
 14. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #14
  Jul 5, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,475
  Likes Received: 3,356
  Trophy Points: 280
  Hilo hata ukutani linakaa...
   
 15. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 6,988
  Likes Received: 4,116
  Trophy Points: 280
  du, usifikiri hivyo mkuu maana hicho kichwa kinatuwakilisha Watz wote (no matter we like it or not)! Sijui watakuwa wametengeneza nakala ngapi Mungu wangu
   
 16. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #16
  Jul 5, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kweli kabisa. Hata Chooni linakaa.
   
 17. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #17
  Jul 5, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 24,966
  Likes Received: 6,515
  Trophy Points: 280
  Kwa hio Mkulu ametundikwa halafu kuna baaadhi ya waliomtundika ndio wanaoongoza nchi kwa niaba yake......huoni bado ni utata??? hata kuchorwa kwenye leso sio sahihi hata kidogo unless kuna message you wish to convey....naomba tulaani kitendo hicho maaana huyu anawakilsiha Wabongo wote, so hata kama tungechorwa kwene zile za kuzuia naniniihiii tungefurahi? sikubali huku nikudhalilishana bana
   
 18. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #18
  Jul 5, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 55,473
  Likes Received: 16,920
  Trophy Points: 280
  Mtakufa navyo vijiba vya roho!
   
 19. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #19
  Jul 5, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Cha kushangaza mkewe anapokea kwa tabasamu kubwaaaaa
   
 20. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #20
  Jul 5, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 55,473
  Likes Received: 16,920
  Trophy Points: 280
  Nyie, msiojua maana , hao kwenye picha wanalitazama nyuma hilo zulia, kwa nini?
   
Loading...