Rais Kikwete kama unaipenda Tanzania achia demokrasia ifanye kazi yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Kikwete kama unaipenda Tanzania achia demokrasia ifanye kazi yake

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Pax, Oct 25, 2010.

 1. P

  Pax JF-Expert Member

  #1
  Oct 25, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 269
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Siku zimekwenda sana lakini hii haiwezi kuwa sababu ya wapenda amani kuendelea kutoa nasaha zetu. Mengi yamesemwa na mengine tumeshuhudia wenyewe, lakini mwisho wa yote tunamsihi amiri jeshi mkuu aachie demokrasia iamue hatima ya nchi yetu. Awaase wote aliowapa dhamana ya uchaguzi huu kwa moyomweupe waache haki itendeke. Nchi yetu imeshafikia kwenye hali ya kuwa delicate sio kama kipindi cha nyuma ambacho CCM walikuwa wanashinda kirahisi. Mahudhurio ya mikutano ya wagombea inatoa taswira fulani japokuwa tunahitaji maamuzi rasmi hapo jumapili 31 October.

  Chondechonde muheshimiwa tuachie tuamue wenyewe.

  The only thing necessary for the triumph of evil is for the good people to remain silent

  ChondechondeC
   
 2. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #2
  Oct 25, 2010
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Hakika akiacha demokrasia ikachukua mkondo wake atakuwa ameonesha ukomavu wa kiwango cha juu kisiasa. Na atakumbukwa daima kama rais aliyekubali kushindwa. Tuombe mambo yaende vizuri.
   
Loading...