NGULI
JF-Expert Member
- Mar 31, 2008
- 4,805
- 637
Ndugu zangu wana JF,
Naomba nizungumze hili kwani nisipozungumza nikifa mbingu itaniuliza.
Mimi binafsi nampenda sana rais wangu Kikwete, huwa namwona kama baba yangu na sio Rais. Huwa inafika kipindi napenda kuangalia taarifa ya habari nimuone baba yangu aki address National issues. Hata ofisini nikivaa miwani wanasema nafanana naye sema mimi na matege makali nikivaa suti haini fit kama baba Rais mwenyewe. Kwa vile mimi niko hapa Posta nikisia anapita nasimamaga nampungia sijui kama ananionaga.
Kama kuna mtu JF anaweza kunikutanisha na kiongozi na baba yangu huyu hata nipige naye picha ya ukumbusho nitafurahi sana.
Inaniumaga sana sometimes watu wanavyomkashifu nahisi kama upanga umepenya ndani ya moyo wangu na kuona baba yangu kaguswa. Ila najipaga matumanini kuwa hakuna rais duniani anayependwa hakuna kabisa kila nchi ina kikundi kidogo au kikubwa cha watu ambacho kinajidai au kinajifanya kinajua na hicho kikundi kikiingia madarakani kinachemsha twice e.g Arab uprising saga and aftermath, Misri na huko west Africa.
Mungu ambariki Rais wangu Mungu ibariki nchi yangu na Mungu wabariki wana JF