Rais Kikwete kama Baba yangu Mzazi...

NGULI

JF-Expert Member
Mar 31, 2008
4,805
637
Ndugu zangu wana JF,

Naomba nizungumze hili kwani nisipozungumza nikifa mbingu itaniuliza.

Mimi binafsi nampenda sana rais wangu Kikwete, huwa namwona kama baba yangu na sio Rais. Huwa inafika kipindi napenda kuangalia taarifa ya habari nimuone baba yangu aki address National issues. Hata ofisini nikivaa miwani wanasema nafanana naye sema mimi na matege makali nikivaa suti haini fit kama baba Rais mwenyewe. Kwa vile mimi niko hapa Posta nikisia anapita nasimamaga nampungia sijui kama ananionaga.

Kama kuna mtu JF anaweza kunikutanisha na kiongozi na baba yangu huyu hata nipige naye picha ya ukumbusho nitafurahi sana.

Inaniumaga sana sometimes watu wanavyomkashifu nahisi kama upanga umepenya ndani ya moyo wangu na kuona baba yangu kaguswa. Ila najipaga matumanini kuwa hakuna rais duniani anayependwa hakuna kabisa kila nchi ina kikundi kidogo au kikubwa cha watu ambacho kinajidai au kinajifanya kinajua na hicho kikundi kikiingia madarakani kinachemsha twice e.g Arab uprising saga and aftermath, Misri na huko west Africa.

Mungu ambariki Rais wangu Mungu ibariki nchi yangu na Mungu wabariki wana JF
 
Amina amina.

Sauti ya watu, sauti ya Mungu.

Alichaguliwa na wengi, atabakia kuwa Rais wetu mpaka 2015.

Baada ya hapo ntawaomba watanzania wanichagulie "baba" yangu Eddo Lowassa apokee kijiti toka kwa baba yako NGULI.
 
Last edited by a moderator:

Hahahah hakuna tabu nitakutanaje na mheshimiwa hata nipige naye picha ya ukumbusho? Asprin na Invisible
 
Hata Yericko Nyerere alikuwa anaota kuwa Nyerere ni baba'ke. Wazimu uko wa namna nyingi.
 
Toa single moja ya bongo fleva, ikiuza sana utakaribishwa white house. Usisahau kunichukua kama mpiga picha ili nami nianze kuizoea nyumba mpya ya "baba" yangu ajaye Eddo boy.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu wana JF,

Naomba nizungumze hili kwani nisipozungumza nikifa mbingu itaniuliza.

Mimi binafsi nampenda sana rais wangu Kikwete, huwa namwona kama baba yangu na sio Rais. Huwa inafika kipindi napenda kuangalia taarifa ya habari nimuone baba yangu aki address National issues. Hata ofisini nikivaa miwani wanasema nafanana naye sema mimi na matege makali nikivaa suti haini fit kama baba Rais mwenyewe. Kwa vile mimi niko hapa Posta nikisia anapita nasimamaga nampungia sijui kama ananionaga.

Kama kuna mtu JF anaweza kunikutanisha na kiongozi na baba yangu huyu hata nipige naye picha ya ukumbusho nitafurahi sana.

Inaniumaga sana sometimes watu wanavyomkashifu nahisi kama upanga umepenya ndani ya moyo wangu na kuona baba yangu kaguswa. Ila najipaga matumanini kuwa hakuna rais duniani anayependwa hakuna kabisa kila nchi ina kikundi kidogo au kikubwa cha watu ambacho kinajidai au kinajifanya kinajua na hicho kikundi kikiingia madarakani kinachemsha twice e.g Arab uprising saga and aftermath, Misri na huko west Africa.

Mungu ambariki Rais wangu Mungu ibariki nchi yangu na Mungu wabariki wana JF

Sasa juzi clouds waliaandaa mkutano wa Fursa
wewe why hukwenda?ungepiga nae picha
 
NGULI, kweli umerudi kikamilifu. Napenda sana unavyo chekacheka hovyo hata wakati ambao kicheko hakitakiwi.
 
Last edited by a moderator:
Hata Yericko Nyerere alikuwa anaota kuwa Nyerere ni baba'ke. Wazimu uko wa namna nyingi.

Wenda wazimu ndio wanaofanikiwa. Wastaarabu hawafanikiwagi. Sijui lolote kuhusu @Yericko namuheshimu kama active member wa JF. Hayo mengine ya kwako.
 
Last edited by a moderator:
Amina amina.

Sauti ya watu, sauti ya Mungu.

Alichaguliwa na wengi, atabakia kuwa Rais wetu mpaka 2015.

Baada ya hapo ntawaomba watanzania wanichagulie "baba" yangu Eddo Lowassa apokee kijiti toka kwa baba yako NGULI.

Asprin, ndio naingia kutoka Machingaland. Nimesafiri na baba yako, ni mgonjwa ile mbaya, mwambie apunguze gongo, anatetemeka sana, kuweka tu simu mfukoni hawezi, kukunja nne hawezi, sijui anazunguka kila kijiji ili iweje.
Mwambie ajitibu kwanza, Urais bila afya njema ni kifo cha mapema.
 
Last edited by a moderator:
Sasa juzi clouds waliaandaa mkutano wa Fursa
wewe why hukwenda?ungepiga nae picha

Asante kwa msaada wako The Boss sikujua kama wameandaa mkutano wa fursa mm nasubirigi kumwona kwenye taarifa ya habari. Siku nyingine wakimwita unafahamishe basi. Ubarikiwe sana
 
Last edited by a moderator:
Asprin, ndio naingia kutoka Machingaland. Nimesafiri na baba yako, ni mgonjwa ile mbaya, mwambie apunguze gongo, anatetemeka sana, kuweka tu simu mfukoni hawezi, kukunja nne hawezi, sijui anazunguka kila kijiji ili iweje.
Mwambie ajitibu kwanza, Urais bila afya njema ni kifo cha mapema.

Ndo maana namwombea atinge ikulu. Ukiwa rais bongo, maradhi yote hupotea.
 
Last edited by a moderator:
Wenda wazimu ndio wanaofanikiwa. Wastaarabu hawafanikiwagi. Sijui lolote kuhusu @Yericko namuheshimu kama active member wa JF. Hayo mengine ya kwako.
Bora umesema. Thread inahusu Jakaya Kikwete, mtu anabadili mada na kuandika chuki yake kwa Yericko. It's absolute ridiculous.
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom