Rais kikwete ile ikulu vunja tujenge nyingine pembeni,ama tumpe makamu wa rais;gavana

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
Mh Rais natumaini mpaka umekaa kimya kuhusu swala la MATUMIZI yabillion 2.4za gavana na naibu means umekubaliana nalo;ni kweli kina mtu anakula kwa urefu wa kamba yake lakini kamba zenu mbona zinaelekea baharini sasa wengine tunashindwa kuzifwata,tunaitaji kuwafwata mnapokula ila tusiwakaribie,kitendo cha GAVANA mzima kukataa nyumba aliokuwa akiishi mwenzie anaepumua kama yeye inaonyesha huyu bwana NDULU NI KAFISADI FURANI KASICHOTAKA KUJIONYESHA,RAKINI KAMO
Kwa Mtizamo wangu

Mh RAIS J KIKWETE RIRE RIIKURU RIMEKARIWA NA RAIS WA AWAMAU YA KWANZA,AWAMU YA PI ,AWAMU YA TATU,MHE RAISI NATUMAINI IMEFIKA WAKATI NA WEWE SASA KUHAMA KUTENGENEZA MAKAO MENGINE AMA IKURU YENYE SIFA ZOTE,KAMA AIKUWA NA SWIIIIIIIIIIMINGI PURI WEKA HUUU NDIO MUDA WAKE

USHAURI MWINGINE KWA KUWA MH GAVANA NDURUUUU YEYE ARIAAMUA KUMWACHIA NAIBU WAKE MEBU KARE KAIKULU MWACHIE MZEE CHENI AJINOME NAE,ARAFU TUKAJENGE KARE KA IKURU CHETU PALE PEMBENI KATIKATI YA BAHARI,TUANGARIE TU WASITUJENGEE TUKAJA KUZAMA KAMA MC MDACHI NA MAHARUSI WAKE,

MH RAIS UNAITAJIKA KUKAA KWENYE SEHEMU ILISTAARABIKA ISOYO NA MAKERERE KAMA KATIKATI YA BAHARI,TUNAAAMINI WIMBO HUU UTAUTIMZA UINGIAPO MADARAKANI 2010

KIDUMU CHAMA CHA MAINTALECTUAL
 
inaonyesha wazi hamkumuelewa gavana NDULU!....

so far,mmesahau ndulu is not working/deciding on HIS OWN!..neither does the president,pm,or any hell!....
 
Kwasababu akina liyu....,yon..,mramb...,hawakujua yatakayowapata hopefully kuna ck wadanganyika wakiamka wataz... na mtu.lol:eek:
 
nchi ya maajabu! madini tele tena ya kila aina, mlima kilimanjaro, udongo wenye rutuba, viongozi mbumbumbu, wananchi waoga na wafuata upepo etc etc etc...
 
Mh Rais natumaini mpaka umekaa kimya kuhusu swala la MATUMIZI yabillion 2.4za gavana na naibu means umekubaliana nalo;ni kweli kina mtu anakula kwa urefu wa kamba yake lakini kamba zenu mbona zinaelekea baharini sasa wengine tunashindwa kuzifwata,tunaitaji kuwafwata mnapokula ila tusiwakaribie,kitendo cha GAVANA mzima kukataa nyumba aliokuwa akiishi mwenzie anaepumua kama yeye inaonyesha huyu bwana NDULU NI KAFISADI FURANI KASICHOTAKA KUJIONYESHA,RAKINI KAMO
Kwa Mtizamo wangu

Mh RAIS J KIKWETE RIRE RIIKURU RIMEKARIWA NA RAIS WA AWAMAU YA KWANZA,AWAMU YA PI ,AWAMU YA TATU,MHE RAISI NATUMAINI IMEFIKA WAKATI NA WEWE SASA KUHAMA KUTENGENEZA MAKAO MENGINE AMA IKURU YENYE SIFA ZOTE,KAMA AIKUWA NA SWIIIIIIIIIIMINGI PURI WEKA HUUU NDIO MUDA WAKE

USHAURI MWINGINE KWA KUWA MH GAVANA NDURUUUU YEYE ARIAAMUA KUMWACHIA NAIBU WAKE MEBU KARE KAIKULU MWACHIE MZEE CHENI AJINOME NAE,ARAFU TUKAJENGE KARE KA IKURU CHETU PALE PEMBENI KATIKATI YA BAHARI,TUANGARIE TU WASITUJENGEE TUKAJA KUZAMA KAMA MC MDACHI NA MAHARUSI WAKE,

MH RAIS UNAITAJIKA KUKAA KWENYE SEHEMU ILISTAARABIKA ISOYO NA MAKERERE KAMA KATIKATI YA BAHARI,TUNAAAMINI WIMBO HUU UTAUTIMZA UINGIAPO MADARAKANI 2010

KIDUMU CHAMA CHA MAINTALECTUAL

We lete masihara tu..nimjuavyo Muungwana anaweza aufanyie kazi ushauri wako halafu liwe balaa jingine juu ya balaaa
 
We lete masihara tu..nimjuavyo Muungwana anaweza aufanyie kazi ushauri wako halafu liwe balaa jingine juu ya balaaa

na mimi nilitaka kusema hivi hivi anaweza akaufanyia kazi ushauri wako..tukabaki midomo wazi hapa ooooh
 
Spika sita mmesha msahau sababu anashikia bango nafisadi hewa vipi natumizi yake ya thamani za nyumba . Kusema kuhusu boriti la mwenzio sio haki ya kuzuia hoja juu ya kibanzi chako.
 
mwenye hii thread katoa wazo walilolitoa akina Gadner na Kibonde katika kipindi chao unless uwe mmojawao, kuwa mbunifu mkuu.
 
Ni la zamani, lilijengwa na mkoloni Sir Edward Cameron takriban miaka 80 iliyopita, halafu halina swimming pool

PHP:
BTW:
Lile analokaa mama yetu Eliza kule uingereza lina zaidi ya miaka 300, 
na lile mdogo wetu Obama lina zaidi ya miaka 200
 
mwenye hii thread katoa wazo walilolitoa akina gadner na kibonde katika kipindi chao unless uwe mmojawao, kuwa mbunifu mkuu.

yaani unaonyesha uzaifu wako
mi sinaga muda wa kusikiliza redio hata siku moja ndugu yangu
kama wewe mpenzi wa hao watu jua kila mtu ana mawazo yake
usiwe mchunifu ukisikia mtu kaandika kuhusu dadako uanze kusema
baba na mama walikuwa wakidiscuss jana ;sasa sijui tulikuwa nao
wewe kama ulisikia kutoka kwao toa mawazo yako,
pole
fich u***** wako
 
N I KWELI MADINI YAKO TELE. Lakini mzee alipoulizwa nchi yako ina kila raslimali ni kwa nini haiendelei? Mzee akajibu nami sijui!! Ilikuwa ni Kule Italyalipokuwa kwenye safari maarufu za kireno. Sasa wewe utajuaje?

Tembeza bakuli tu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom