Kila Mechi Rais Wetu kuhudhuria Jijini Dar Es Salaam Taifa Stars inafungwa au Sara haishindi Wana Jamii hamuoni kuna ni busara kwa Rais Kukaa Nyumbani kuliko kwenda Uwanjani?