Rais Kikwete azungumza na Watanzania Wanaosoma Kenya

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
IMG-20151005-WA0021.jpg

Rais Kikwete akiwa na wanafunzi raia wa Tanzania wanaosoma nchini Kenya (Tanzania students association of Kenya (TASAKE))

Rais Kikwete pia amewaasa watanzania kuwa wasijisahau badala yake warudi nchini na kuwekeza.
 
GOOD...! Sometimes we supposed to have free mind decision, ah sio kila mara tubanwe na siasa tu.
Good Mweshimiwa Rais wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete....

Japokuwa hadi sasa bado hujavunja baraza la mawaziri sasa sijui imekaaje hii..?
 
Nchi itayumba ngoja kwanza waendelee kutoa maelekezo ya serikali katika wizara! coz mida kama hii ndo wale watendaji mafisadi hufanya yao na kuacha balaa kwa rais ajaye na kuleta tuhuma dhidi ya CCM(Chama imara!).president KIKWETE is strategist and wise man! that why he kept them,unakumbuka kwa nini mh sitta amerudishwa home kutoka EA parliament? bye bye! FUMBUA macho
 
Nchi itayumba ngoja kwanza waendelee kutoa maelekezo ya serikali katika wizara! coz mida kama hii ndo wale watendaji mafisadi hufanya yao na kuacha balaa kwa rais ajaye na kuleta tuhuma dhidi ya CCM(Chama imara!) KUWA makini kama raia mwenye kujua tamaa ya fedha..

Mkuu nahisi kuna hatihati ya wafanya kazi wa serikali kucheleweshewa mishahara mwezi wa kumi na moja.....Hatari
 
Mkuu nahisi kuna hatihati ya wafanya kazi wa serikali kucheleweshewa mishahara mwezi wa kumi na moja.....Hatari

Inaweza kutokea!..ila Hazina na taasisi za serikali za maswala ya fedha zinajitahidi kutazama mzunguko wa fedha!.Wakati wa uchanguzi(popote duniani) UMAKINI katika fedha huitajika sana!
 
GOOD...! Sometimes we supposed to have free mind decision, ah sio kila mara tubanwe na siasa tu.
Good Mweshimiwa Rais wa Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete....

Japokuwa hadi sasa bado hujavunja baraza la mawaziri sasa sijui imekaaje hii.
.?

Kasome katiba ya 1977, Ibara ya 57 (2) F utapata majibu!
 
Back
Top Bottom