Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,269
- 675
anaongeza huusiano na nchi JIRANI
Safari hizi zina manufaa kwa taifa
Safari hizi zina manufaa kwa taifa
we mwache tu sasa utaamini kwamba serikali ya nchi hii sio sikivu makamu wa raisi yupo wapi kwani hawezi kwenda dr shein kuiwakilisha muunganano? Naamni sasa kwamba hakuna waziri atakae jiuzulu hata mmoja mungu itazame tanzania kweli mungu anakazi "wabariki viongozi wake" ni moja ya maneno katika wimbo wa taifa
Kwenye Press release ya Ikulu leo Kurugenzi ya mawasiliano wanasema hivi:
"....Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete, ambaye alikuwa katika ziara ya kikazi nchini Brazil, amerejea jana Aprili 21, 2012 jioni. Hajaonana wala kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu, Mhe. Pinda. Hivi sasa Mhe. Rais anasubiri kupata taarifa rasmi kutoka Bungeni Dodoma".
Sasa ningeomba kuuliza, rais anasubiri taarifa ya bunge au yuko safarini (tena) huko Malawi? kwa taarifa hiyo ya Ikulu rais hana habari kuhusu nini kinaendelea hapa nchini maana 'hajafanya mazungumzo na waziri mkuu". Yaani amefika nchini na kuondoka bila kujua chochote? Na anasubiri nini kama hajaongea na PM?
Binafsi naona hapa washauri wa rais wamemwangusha. Inakuwaje rais ahairishe safari kutokana na kifo cha mcheza sinema (Kanumba) lakini sio wakati nchi iko kwenye hali tete kama sasa? Kwa nini asimtume Makamu wa rais amwakilishe kwenye hayo mazishi? Priority yake ni ipi? Tanzania first? au foreign leaders first? Kama ni kweli yuko Malawi italeta tafsiri mbaya sana.

Ilete tafsiri mbaya mara ngap ndugu yangu??? we tafsiri vibaya tu jamaa yupo msibani sasa hivi. Huyu bado anaona watanzania nimapumbafu ndo mana anaweza kujiachia hivi na kuleta mzaha hata panapomhitaji awe serious. Anasema hajapata taarifa, kwani akiwa nje hawasiliani na wenzake huku nchini???Kwenye Press release ya Ikulu leo Kurugenzi ya mawasiliano wanasema hivi:
"....Mheshimiwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete, ambaye alikuwa katika ziara ya kikazi nchini Brazil, amerejea jana Aprili 21, 2012 jioni. Hajaonana wala kufanya mazungumzo na Waziri Mkuu, Mhe. Pinda. Hivi sasa Mhe. Rais anasubiri kupata taarifa rasmi kutoka Bungeni Dodoma".
Sasa ningeomba kuuliza, rais anasubiri taarifa ya bunge au yuko safarini (tena) huko Malawi? kwa taarifa hiyo ya Ikulu rais hana habari kuhusu nini kinaendelea hapa nchini maana 'hajafanya mazungumzo na waziri mkuu". Yaani amefika nchini na kuondoka bila kujua chochote? Na anasubiri nini kama hajaongea na PM?
Binafsi naona hapa washauri wa rais wamemwangusha. Inakuwaje rais ahairishe safari kutokana na kifo cha mcheza sinema (Kanumba) lakini sio wakati nchi iko kwenye hali tete kama sasa? Kwa nini asimtume Makamu wa rais amwakilishe kwenye hayo mazishi? Priority yake ni ipi? Tanzania first? au foreign leaders first? Kama ni kweli yuko Malawi italeta tafsiri mbaya sana.
:doh: kama rais tumepata...