Rais Kikwete atoa wiki mbili kwa majambazi kusalimisha silaha na kujisalimisha

Hivi wa EPA wamerudisha?Na ni ngapi?HIvi wa madawa ya Kulevya wamejisalimisha, hivi mafisadi.....?I think nitakuwa mwendawazimu nikidhani ni serious issue..pengine ni mic check.
 
raisi alisema anawajua wauza unga kwa majina na akawapa muda wa kuacha na biashara ndo imeshamiri,kama raisi ana majina tayari taarifa gani unahitaji wewe kilaza.
 
wewe naona umepotea njia hapa. otherwise nenda kachukue posho kwa kagame. unafikiri hiyo kauli imewalenga akina nani kama si wanyarwanda waliojazana kule ngara? pole sana ndugu
Alisema ana majina ya wauza unga tena kwa majina je kayafanyia nn?
 
Siyo kazi ya Rais kuwataja wauza madawa ya kulevya, ni kazi yako wewe unaobwabwaja kusaidia kutoa taarifa za hao wauzaji kwani wewe mtanzania kama Rais.

Hujui kuwa raisi ndo alisema ana list na majina ya wauza unga?
 
Madawa ya kulevya ndo janga zaidi angefanya kuwataja na kuwachukulia hatua na kuendelea kuwasaka wahusika kwani sasa raia wa tz wamekuwa hawaaminiki hata punje huko nje, pia vijana wamekwisha kwa haya madawa kwanini analinyamazia kimya?
 
[MENTION][JFMP3][/JFMP3][/MENTION]
Siyo kazi ya Rais kuwataja wauza madawa ya kulevya, ni kazi yako wewe unaobwabwaja kusaidia kutoa taarifa za hao wauzaji kwani wewe mtanzania kama Rais.

Wewe nafikiri utakuwa umetoka usingizini mheshimiwa kama umesahau kauli ya mkulu kwamba anayo majina ya wauza unga, sio kitu kigeni unless uniambie unamataizo ya kuweka kumbukumbu.
 
Huyu nae tulishamzoea!! Lazma aseme hivyo ili aonekane yupo! Sote ni mashahidi wa kitakachotokea, polisi watafanya maigizo yao ili ionekane majambazi wametii kama yule 'mkenya' wa filamu ya Ulimboka aliyekwenda 'kutubu' kwa yule mchungaj!!
 
atoe notice kwa wauza unga pia wote ni wamoja na wote ni hatari kuliko majambazi aanze na iddi azan
 
hizo kauli tusha zizoea toka jk anaingia madarakani.ndio kajua leo kuwa kuna haja ya kufanya hayo??mh!! safari bado ndefu sana.
Unajua Kikwete na hasa Pinda na viongozi wengi nchini wanapenda sana kutumia neno "nimechoka... tumechoka... kuanzia leo this and that " Nchi za watu ukisema nimechoka utaulizwa ina maana ulikuwa unavumilia makosa/maovu? Ulikuwa hutimizi wajibu wako?

Kwenye ku enforce the law ama kutimiza wajibu fulani huwezi kusema sasa nimechoka au kuanzia leo marufuku.... kwani huko nyuma haikuwa marufuku?
 
Hizi sio sababu za msingi za kushindwa kujihami dhidi ya uasi na vita visivyotarajiwa.

Kama for the past 7 years alishindwa, how can he be able today. Ujambazi ni mtandao, Mwema alikuwa na nia ya kuuangamiza. But unfortunately hata vigogo wanahusika. Wiki iliyopita tu ndio wamekamatwa hata viongozi kwenye jeshi la magereza wakitorosha pembe za tembo, hilo ni jeshi la magereza, kama jeshi la magereza limeweza hivyo, je jeshi la polisi ambao kimsingi ndio wako uraiani kulinda watu na mali zao wanafanya nini?
Do you think raisi is not aware of the smuggling of live animals to Qatar? Nchi hii huwa wanyonge ndio wanaokamatwa, wezi wa kuku nk, majambazi yenyewe hayatakamatwa. No wonder nyingi ya silaha ni za kivita ambazo zinamilikiwa na Jeshi, na raisi ndiye amiri jeshi mkuu. How did they leaked from the army? If it is possible that they can leak from the army, we are real safe? Who should we trust?
 
Siyo kazi ya Rais kuwataja wauza madawa ya kulevya, ni kazi yako wewe unaobwabwaja kusaidia kutoa taarifa za hao wauzaji kwani wewe mtanzania kama Rais.

Ndo matatizo ya kutoka form four na div. Zero na kuishia Lumumba buku saba project. Hujui hata kauli aliyotoa mwenyekiti wako.. SHAME..
 
Kagame hakuzunguka Mbuyu kwa Kusema ata mhit.
Yeye anazunguka zunguka tu na Matamko na ahadi.
Leo ni siku ya pili.
We will keep on counting
 
Mikoa iliyotajwa:KAGERA,GEITA,na KIGOMA majambazi wanafanya uhalifu wakitokea porini,na kutokomea porini bada ya kufanya matukio ya ujambazi.HII ni suala la siku nyingi sasa.

ITAFUTWE HELIKOPTA YA KUPAMBANA NA UHALIFU HUU,AU IUNDWE KANDA MAALUM KWA MIKOA HII(Kagera,Geita na Kigoma).ajabu helikopta ya polisi ipo Dar,eti wakubwa wanaitumia katika kazi za kiofisi.Hivi katika mpango wa kununua vifaa na vitendea kazi katika jeshi la polisi,siku zote hamuoni eneo hili linahitaji HELIKOPTA?au wakubwa wa Polisi wanakosa ubunifu wa kupanga vipaumbele?
 
Back
Top Bottom