Rais Kikwete ateua wakuu wapya wa mikoa

Duuuuuh kumbe njombe nao mkoa??? Hiyo kali... Ila umejaliwa utajili wa vumbi na kale kaugonjwa ketu
 
ZUBEDA_MCHUZI
Hao mawaziri walifanya ubadhirifu gani?? tujuze tuache kuanika vitu nusunusu hayo ni MAJUNGU
 
Afadhali Mwakipesile ameondoka Mkoa wa Mbeya! Ameleta makundi yasiyo na maana Mkoani humo, amekuwa mbabe kupindukia!
 
Mhhh!! uteuzi huu?????

Mwantumu Mahiza......alikosa ubunge + uwaziri
Joel Bendera ..............alikosa ubunge +uwaziri
Eng. Stella Manyanya......huyu ni mbunge......!!!!!!!

KILA LA HERI TANZANIA NA WATU WAKE.....kama vipi katiba mpya ikija tuweke wazi kuwa mamlaka ya kuteua watendaji izingatie vigezo fulani na kuwepo na mamlaka ya kuthibitisha uteuzi wa Rais ktk vyeo kadhaa ili kuepusha janga la kuwa na viongozi majanga.
 
Hebu fikiria wewe ni Mbunge wa Muleba unachaguliwa kuwa RC wa Tanga. Utawawakillishaje watu wa Muleba. Hii kitu naona ilishapitwa na wakati, na hasa kwa Tanzania ya leo ambao tuna wasomi na wataalamu kibao wanaoweza kuwa wakuu wa mikoa. Labda tuliiingize hilo katika katiba mpya.
 
Mi nasema hy ni dharau kwani wasomi na wenye uwezo wa kuwa wakuu wa mikoa wako wengi sn ila ras anawazarau na huenda HUYO ALIYEMTEUA NI NYUMBA NDOGO YK hvy kaamua amfurahishe kwa kumpa cheo hch km akina A.C., V.K, Z.M.
 
Ni uwezo mdogo wa kufikiri. Kama anafanya uteuzi kwa ushabiriki ni hatari kwa maendeleo ya taifa. Kuna sababu ya kuondoa hivi vyeo vya ukuuwa mikoa na wilaya wabaki mkurugenz na mbunge.
 
Majibu ni mawili; ama kuna maslahi binafsi kati ya anayeteua, au hakuna Watanzania wengine wenye sifa (kitu ambacho si kweli).

Kwa hiyo, jibu la kwanza kuwa kuna maslahi binafsi baina ya mteuzi na mteuliwa ni sahihi.
 
Mhhh!! uteuzi huu?????

Mwantumu Mahiza......alikosa ubunge + uwaziri
Joel Bendera ..............alikosa ubunge +uwaziri
Eng. Stella Manyanya......huyu ni mbunge......!!!!!!!

KILA LA HERI TANZANIA NA WATU WAKE.....kama vipi katiba mpya ikija tuweke wazi kuwa mamlaka ya kuteua watendaji izingatie vigezo fulani na kuwepo na mamlaka ya kuthibitisha uteuzi wa Rais ktk vyeo kadhaa ili kuepusha janga la kuwa na viongozi majanga.
hapo kwenye bold...! ndiyo reward yake hiyo kwa kufanya kazi kubwa !i! umeshasahau alipokuwa anatetea kila kitu cha serikali bungeni mpaka tukawa tunashangaa ? miongozo miingi....!
 
Back
Top Bottom