Rais Kikwete ateua Wakuu wa Wilaya, wengine waenguliwa kutoka kwenye nafasi zao

Ivi kama ulikuwa mtumishi let say Mchumi, Afisa habari wa halmashauri afu ukateuliwa u DC then baada ya miezi saba unapigwa chini unaweza kurudia kazi yako?
 
Nimepitia orodha ya wakuu wa wilaya sijaona jipya hususani kwenye kanda yangu ya DSM na mkoa wa Kinondoni, nimemuona mtu anayeitwa Paul Makonda eti naye ni mkuu wa wilaya.

Namkaribisha sana kwenye mkoa wa kinondoni wenye majimbo matatu, mawili ya kiwa ni Chadema na moja ni ccm kwa bahati mbaya sana.

Hapa kama mnavyojua vyeo hivyo mmepewa kisiasa mtakavyo kuja ndivyo tutakavyo wapokea, lazima mjue mpo kwenye himaya ya Chadema na sivinginevyo kama mlivyoaminishwa.

Tutafanya siasa za level nyingine mtakayo ichagua.

Uko kwenye himaya ya chadema uropokaji wako uishie huko, hapa mtatii mamlaka ya Chadema, kutoonea watu, kutisha watu, kubambikia watu kesi za uongo, vile vile Kinondoni tulikuwa tumesahau uwizi wa simu zetu za mkononi umepungua kabisa, tunategemea kuwa hili la uwezi wa simu halitajitokeza huku uraiani kwani huku huwa tunaonaga kwenye vyombo vya habari kuwa Wananchi wenye hasira kali wamechoma kibaka aliyepora simu. Hakunaga mwongozo wanamna ya kushughulika na kibaka wa simu.

Wabunge wangu na madiwani wetu wamejitahidi sana kupigania viwanja vya wazi virudi na vimerudi hatutegemei kinondoni kuwa kichaka cha wanyang'anyi wa Ardhi, huwa tukidhulumiwa hatusiti kupiga peoples power mpaka nyumbani.

HII NDIYO KINONDONI HUWA HATUSUBIRI KUAMBIWA NAMNA YA KUDAI HAKI YETU

HENRY KILEWO
KATIBU KINONDONI/DSM
CHADEMA..
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana mheshimiwa Prince Ridhiwani Kikwete kwa uteuzi na upanga safi wa safi ya wakuu wa wilaya watakaosaidia chama na hasa timu yako Membe kushinda. Nimefurahishwa sana na uteuzi wa Mh. Makonda na wilaya aliyopangiwa. WanaFJ wotee pum.bavu zenu sana. Hamna akili hata moja. Sorry jamani sitaki kuwaudhi ila natafuta cheo. Si mnajua matusi ni sifa ya kupata na kupanda vyeo
 
Haa haa jk ameudhalilisha sana urais wallahi, yaani mpaka makonda mkuu wa wilaya! Duh kwa lipi? Kwa kumpiga warioba ama..
 
hii ya kijana aliyemkata mtama warioba na kumpiga baba yake kuwa mkuu wa wilaya imenisikitisha sana, ila kali kuliko ni ile ya Zelothe, kutoka ukamanda hadi umangimeza na vyeo vya bwerere

Mbaya sana
 
Ivi kama ulikuwa mtumishi let say Mchumi, Afisa habari wa halmashauri afu ukateuliwa u DC then baada ya miezi saba unapigwa chini unaweza kurudia kazi yako?
 
Ndo maana watu wanahusisha uteuzi wa kikwete na udini. Mkoa wa Mbeya viongozi asilimia kubwa ni waislamu. Mkuu wa mko, RPC, sasa wakuu wa Wilaya walioteuliwa Rungwe na Mbozi ni waislamu ukiacha waliokuwepo tayari. HATUTAKI UDINI!
 
hii ya kijana aliyemkata mtama warioba na kumpiga baba yake kuwa mkuu wa wilaya imenisikitisha sana, ila kali kuliko ni ile ya Zelothe, kutoka ukamanda hadi umangimeza na vyeo vya bwerere

Mbaya sana

Hahaa....kuna Shabani kisu pia
 
Makonda na yeye mkuu wa wilaya ! kwel Tanzania kichwa cha mwendawazimu ,kilamtu anajifunzia kunyolea
 
Ukomo utaisha siku akiondoka madarakani ndo utawala wa mwisho wa ccm.
Juazi nilimsikia Rais wakati akizindua sera mpya ya elimu akisema kwamba madaraka yake ya kuteua yataisha pale atakapoenda uwanja wa Taifa kumkabidhi madaraka rais mpya.
 
Hivi mzee warioba anajisikiaje akimuona kikwete hata km ni kwenye tv. Anyway mzee huyu ana busara sn watz tusingekuwa nyuma yake kwa kuandamwa kwake na kikwete na ccm yote angekufa kwa presha na kuwaacha wenye tezidume zao wakipeta. AIBU SN HII
 
Ivi kama ulikuwa mtumishi let say Mchumi, Afisa habari wa halmashauri afu ukateuliwa u DC then baada ya miezi saba unapigwa chini unaweza kurudia kazi yako?

mkuu umelamba shavu nini ? usihofu ukipigwa chini utarudia kazi yako kama utahasi chama
 
Mtasema sana tunawajuwa, hamna zaidi ya hayo matusi yenu. Mnaotumika mnajijuwa, mnafua mpaka nepi za junior, mnafikiri hatujuwi?

CCM inaongoza nchi nzima yenye watu zaidi ya million 45 na si Ufipa tu. Fikiri.

Sisi tunadunda.

Kumbuka usemi usemao mbwa wa mfalme ni mfalme kwa mbwa wenzake hivyo hakuna atumikae bure lazima jamii itaona matunda ya unyenyekevu wake hayo ndiyo matunda ya Makonda na wenzie mnaowaona leo wanafanikiwa, ingawa ktk uteuzi huu nimejifunza jambo kuwa mh. rais ni mvumilivu sana na pia siye anayeteua kwa maana ya kusema urais ni taasisi kubwa yenye vyombo vingi na hivyo kupewa majukumu tofauti na possibility ya vyombo hivi kuwa impaired ni kubwa haswa ktk mwelekeo wa kipindi hiki kiasi cha kupata ma-dc wa uongo kwa maana ya kazi ya u-dc tukaishia kupata bogus, mfano ukiangalia ktk uteuzi huu kuna dc kaachwa Alfred Ernest Msovella (Kongwa); huyu alikuwa mwal pale CBE nilishuhudia siku ya kupiga picha na rais pale st.gasper dodoma wakiwa ktk hatua muhimu ya seminah elekezi mh. rais alimtazama kwa mda mrefu sana akiwa kana kwamba kaduwaa namna alivyomfahamu na nafasi aliyompa.
 
Wakuu, salaam... Hivi kwani hakuna ukomo wa Rais anayemaliza muda wake kufanya teuzi? Kwanini Rais anayemaliza muda wake aendelee kufanya teuzi hadi muda huu? Sheria zinasemaje? Je huu si udhaifu mkubwa wa kikatiba? Kwa nini Rais aliyepo amtengenezee serikali Rais anaye?

ni vigumu kuweka kila kitu kwenye katiba au sheria, ilitegemewa mengine wahusika watatumia busara, kinyume chake madudu!
 
Nafurahi sana makada wezi waliojaa ufisadi na unafki dhidi ya vijana[Elibariki Kingu&Bi Fatma Kimario] wametenguliwa.
Taarifa zao zote za ufisadi ziliifikia Ikulu,tena kwa wakati.
Go to hell,na hakuna aliyewaandalia mazingira yoyote.
 
hii ya kijana aliyemkata mtama warioba na kumpiga baba yake kuwa mkuu wa wilaya imenisikitisha sana, ila kali kuliko ni ile ya Zelothe, kutoka ukamanda hadi umangimeza na vyeo vya bwerere

Mbaya sana

Si useme tu kuwa ni bonge la !!Zingaombwe!!
 
Back
Top Bottom