Rais Kikwete atengua uteuzi wa DC wa Kishapu

Hii inadhihirisha mapungufu makubwa sana na ya hatari katika uongozi!!! Haiingii akilini mwangu kuwa Ikulu au TAMISEMI walikuwa hawana taarifa za kesi inayomkabili huyu Bwana!!! Kabla uteuzi mkubwa wa namna hii haujafanyika lazima kuna vetting inatanguliwa i.e kuwakagua watarajiwa wote mazuri na mabaya yao, then wanapima (what outweigh what??) kama ni uteuzi muhimu sana wanaenda hadi level ya nuclear family kujua vipi uongozi wako wa familia ukoje!!! Sasa kweli hakuna taaarifa za huyo mkuu wa Wilaya???!!! au watu wa vetting hawako makini??? It is a shame!!! Tumekwisha!!!
 
Hivi ni kweli vetting hii inaenda hadi ngazi ya familia? Huko wanakuwa wanatumia viashiria gani ( indicators) kuona kuwa mhusika amefanikiwa au hakufanikiwa kwa minajili ya kupata/kutopata madaraka makubwa.

Natamani kama wale waliofanikiwa kwenye ngazi ya familia zao, wangeongoza katika kupata nafasi kwa maana basi familia nyingi zingeboreshwa.
 
Back
Top Bottom