Rais kikwete atabakia kuwa mwenyekiti wa ccm: Hana la kupoteza! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais kikwete atabakia kuwa mwenyekiti wa ccm: Hana la kupoteza!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mtaka Haki, Oct 30, 2010.

 1. M

  Mtaka Haki JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 492
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watanzania wenzangu. Nimegundua kuwa wengi wetu tunapiga kura kwa huruma kwa sababu tumekuzwa na kuelelewa kwa kuhurumiana. Kila mmoja wetu amegundua hasa baada ya mdahalo wa jana kuwa rais wetu amechoka na hata amekiri hivyo.
  Kwa kuwa bado atabakia kuwa mwenyekiti wa CCM bado hicho ni cheo kikubwa na cha heshima.
  Kwa hiyo wale mliokuwa kama mimi. ( Wenye kumhurumia na kumpenda). Basi tumpe Slaa kura ya Urais na yeye atabakia kuwa mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi chama kikubwa na kikongwe.
  Yeyote anayempenda rais wetu kama mimi hatapenda kumtwisha tena mzigo mzito wa miaka mitano.
  NAFARIJIKA KUJUA KUWA ATABAKIA KUWA MWENYEKITI WA CHAMA TAIFA HATA AKIKOSA URAIS.
   
 2. M

  Mtaka Haki JF-Expert Member

  #2
  Oct 30, 2010
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 492
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  NAOMBA WATAKAOHUTUBIA MKUTANO WOWOTE LEO WATOE MANENO HAYA YA FARAJA KUWA MH DK. Jakaya Kikwete ataendelea kuwa mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa na hii ni kwa nchi nzima. Watu wengi hasa vijijini watafurahi kujua kuwa hatapoteza kila kitu.
   
Loading...