Rais KIKWETE asema Serikali haitaingilia utendaji kazi wa CAG | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais KIKWETE asema Serikali haitaingilia utendaji kazi wa CAG

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BONGE BONGE, Jan 16, 2012.

 1. BONGE BONGE

  BONGE BONGE JF-Expert Member

  #1
  Jan 16, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 3,399
  Likes Received: 1,524
  Trophy Points: 280
  Rais aliyasema hayo alipokuwa anafanya ufunguzi wa jengo la CAG-Morogoro; aliongeza, kuingilia utendaji wa CAG ni kuvunja Katiba ya Jamhuri kwani hicho ni chombo huru kilichoundwa kikatiba, na yeye hatakuwa mojawao: source TBC

  my take:
  Hizi zaweza kuwa ni salamu tosha kwa Bunge la Jamhuri linalotazamiwa kuanza January 29, 2012 kuhusu kufanyiwa kazi na Serikali mapendekezo ya kamati teule ya Bunge kwenye sakata la Jairo, Luhanjo na CAG
   
 2. p

  politiki JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Rais JK ataendelea kuwaingilia watendaji wa taasisi zote nyeti ikiwemo CAG, DCI na TAKUKURU mpaka pale katiba itakavyobadilishwa na kuziweka ofisi zote hizi chini ya Bunge na kulipa bunge tu mamlaka ya kuwatimua na siyo Rais hapo ndipo watanzania mtarajie mabadiliko ya utendaji lakini ktk hali ilivyo sasa vituko vya akina JAIRO, TAKUKURU NA DCI vya kutupiana lawama na mafaili sijui yako kwa yule hayako kwangu mara sijawahi kuyaona na mara siwezi kujibu kwa kuwa siko ofisini mtaendelea kuviona kwa wingi kwa maana mkono wa Rais umetapakaa maeneo yote hayo.
   
 3. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2012
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Hapo ndo huwa naamini viongozi wa ccm wanawachukulia wananchi mambumbumbu wa kutupwa,unawezaje kusema hutaingilia ilhali we ndo unayewateua? obvious hawatakuwa huru,lazima wawe watii kwako kwa namna yoyote!
   
 4. M

  Mokerema JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 236
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bonge Bonge!
  Big up kwa kuliona hilo. Hiyo ndiyo staili ya utawala wa Jakaya Kikwete. Ukiona hivyo ujue Bunge limeingiliwa maamuzi yake kuhusu Jairo, Luhanjo, Utouh, Ngeleja, Malima na wote wa wizara ya nishati na Mashirika yake ndio basi tena. Luhanjo ataendelea kula pension kwa kuwa anafahamu madudu mengi ya Jakaya hakuna atakachofanya. Jairo aka Haruni atapangiwa kazi nyingine Usalama wa Taifa. Ngeleja anapongezwa kwa kufanikisha miradi ya siku nyingi ya JK na Rostam ya Richmond hadi Symbion pamoja na Aggreko. Ili kuficha aibu. Hao akina Ndugai na Bunge Lao imekula kwao labda itumike peoples power hapo watatumika akina Shimbo na shemeji Said Mwema na inteligensia wakisema kuna El Shabab kwa hiyo maandamano marufuku .. Naanza kuichukia Tz sana!:A S 465:
   
Loading...