Rais Kikwete arejea ghafla ikulu ya Dar es salaam

Status
Not open for further replies.

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,977
20,244
Kufuatia msiba ulio likumba taifa,yule bingwa wa safari duniani ndugu yetu kabisa JK imemubidi ageuke kutoka Nairobi!

Ameonesha moyo wa kujali na huruma kama kawaida yake. Sasa mbona magwanda wao wanaendelea na kampeni tu Igunga?

Hapo roho itakua inamuuma kichiz yan,maana alpanga aktoka nairobi anaunga addis ababa kabla ya kuibukia new york.

kurudi ikulu hakumaanishi moyo wa upendo, bali ni kutaka kuonesha kama anajali, angetuma HELICOPTER mapema (alizofanyia kampeni) kidogo ningesema anajali waTZ.

Tukipumzika wenzetu watazikwa na nani.
Tusipofanya kazi wengine si watakufa!
Madaktari wakipumzika itakuaje?

Ameonesha moyo wa kujali na huruma kama kawaida yake. Sasa mbona magwanda wao wanaendelea na kampeni tu Igunga?
Moyo wa huruma na kujali asante, mbona magamba yamelaunch kampeni leo? Na wananuksi hao, siku ya fomu msiba, siku ya kulaunch msiba tena massively

Kufuatia msiba ulio likumba taifa,yule bingwa wa safari duniani ndugu yetu kabisa JK imemubidi ageuke kutoka Nairobi!
mkuu kaona noma, manake wakati wa saka bungeni aliminya kimya , sasa hili angeminya akona ingekuwa sooo ile mbaya ndo maana kageuza. na inaoneka JF wammpa somao, manake kipindi cha sakata la bungeni watu wngu walisema hajali, na inasemekan alikuwa humu, kajifunza

Hapo roho itakua inamuuma kichiz yan,maana alpanga aktoka nairobi anaunga addis ababa kabla ya kuibukia new york.

Umeona eenh! Hata hivyo cha New York atakwenda ila Addis Ababa sina uhakika kama atakubali kimpite angalau siku moja kama si masaa.

Moyo wa huruma na kujali asante, mbona magamba yamelaunch kampeni leo? Na wananuksi hao, siku ya fomu msiba, siku ya kulaunch msiba tena massively

Yaani wewe mi nakupenda Bure maana ma litle Tinkers kama hawa huwa hawaishi kuonyesha unafiki wao kuwa wanajali wakati siyo kweli.

Amen to that Derimto

Status
Not open for further replies.
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom