Rais Kikwete arejea ghafla ikulu ya Dar es salaam

Status
Not open for further replies.

Ameonesha moyo wa kujali na huruma kama kawaida yake. Sasa mbona magwanda wao wanaendelea na kampeni tu Igunga?

nawasiwasi na upeo wa akili yako,aliyefanya uzinduzi jana ni magwandwa mkubwa?acha kutumia masaburi.

Arudi tuungane pamoja ila inabidi kampeni zisimame mpaka j5.mtizamo tu japo magamba hawakuheshimu msiba jana.

Tz nchi ya ajabu sana kuna meli moja hvi ipo kigoma inaitwa liemba ina miaka zaidi ya 120 befora WW1 na WW2 na bado inapiga ruote za kigoma to Zambia bila ya matengenezo na inajaza balaa..nyie subirini tu

Hapana si ya ajabu,,,,,,,tutaunda tume baada ya ajali,tutaomboleza kwa siku 3,na tutawawajibisha wazembe,,,,,SERIKALI INAFANYA KAZI MDAU
Tz nchi ya ajabu sana kuna meli moja hvi ipo kigoma inaitwa liemba ina miaka zaidi ya 120 befora WW1 na WW2 na bado inapiga ruote za kigoma to Zambia bila ya matengenezo na inajaza balaa..nyie subirini tu

Hakuna kazi mkuu, bata kwa kwenda mbele tu

Wewe kweli punguwani/hamnazo yani watu waomboleza wewe unazungumzia kula bata kweli huu ni ubinadamu? au ndio mawazo yako yamefikia tamati?

Kufuatia msiba ulio likumba taifa,yule bingwa wa safari duniani ndugu yetu kabisa JK imemubidi ageuke kutoka Nairobi!

Kumbe JK ana title mpya ya kuwa bingwa wa misele duniani..duh..ametunukiwa wapi hiyo kitu mkuu? Ni equivalent na Black Belt ama Mkanda wa UBC? Naomba kujua alipambanishwa na nani hadi akaibuka mshindi wa jumla.

Ameonesha moyo wa kujali na huruma kama kawaida yake. Sasa mbona magwanda wao wanaendelea na kampeni tu Igunga?

mouo

moyo wa kujali wapi kaona bora arudi maana hata kijngereza chenyewe kwenye mkutano kilikuwa kinampasua kichwa kaona bora arudi maana kapata kisingizio

Moyo wa huruma na kujali asante, mbona magamba yamelaunch kampeni leo? Na wananuksi hao, siku ya fomu msiba, siku ya kulaunch msiba tena massively
Sasa wewe ulitaka waseme kuwa wanaomboleza kwahiyo kiti cha ubunge wapewe chadema? Mbona wanafiki wenu bado wako Igunga wanaendeleza kampeni?

Hivi kwa nini watanzania tuna-risk maisha yetu kwa kutumia vyombo vya usafiri vyenye umri mkubwa kiasi hicho? Hivi hatuna sheria za kuzuia mikweche ya aina hiyo! Chombo kiliundwa kabla sijazaliwa na leo nina umri zaidi ya miaka 40 lakini bado kinaendelea kusafirisha roho za watu!

Mkuu, kuna haja kubwa nasi wenye nchi tujivue gamba/tubadilike! angalia hata misongamano ndani ya daladala, kondas wanakaulimbiu kwamba gari haijai ila ndoo ya maji!

huyo mtalii hana jipya na kunauwezekano magamba wanatoa kafara tuweni macho maana huwa hawana huruma

Angalau kidogo nazi yetu imekumbuka kurudi nyumbani. Mungu mbarika akili zirudi, maana akizikumba bata za ulayj hapati usingizi.

siku za maombolezo zilianza lini na zinahusu shughuli zipi? siasa igunga inaendelea, mipira inaendelea, mashindano ya miss VODACOM yanaendelea? Tumekosa wa kutuongoza hata kwenye mambo madogomadogo jamani. Nakubaliana na watu wanaosema kuomboleza si kusimamisha shughuli bali ni alama yakuwepo msiba ambapo ningetegemea kuona yafuatayo timu za mpira zikifunga vitambaa vyeusi, warembo kufunga vitambaa vyeusi na kila tukio la michezo lifanyike kwa watanzania kufunga vitanmbaa vyeusi basi mnaohusika wataarifuni wanamichwezo wetu walioko msumbiji.

Sasa wewe ulitaka waseme kuwa wanaomboleza kwahiyo kiti cha ubunge wapewe chadema? Mbona wanafiki wenu bado wako Igunga wanaendeleza kampeni?

Si lazima CDM si kuna CUF etc etc...nasema they launched regardless heheheh

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom