Rais Kikwete arejea ghafla ikulu ya Dar es salaam

Status
Not open for further replies.
acha unafki alirejea tangu jana jioni na ajali imetokea saa kumi usiku

Haya bwana labda rais wa wewe! Ila kwa rais huyu baba riz1
anaeishi magogoni jioni ya leo ndio kaingia na mimi ni mmoja ya waliompokea!

Kufuatia msiba ulio likumba taifa,yule bingwa wa safari duniani ndugu yetu kabisa JK imemubidi ageuke kutoka Nairobi!

kapata sababu ya kuwakimbia wakenya,hawapendi kwelikweli kwa sababu wanamwandika vibaya kwenye magazeti

poleni sana wapemba na hivi mlivyo wachache tukijumlisha ngunguri walivyowateketeza 2001 na hii ya leo mnaweza toweka duniani naskia watu zaid za buku pale wamekwenda majini inaskitisha...

Ameonesha moyo wa kujali na huruma kama kawaida yake. Sasa mbona magwanda wao wanaendelea na kampeni tu Igunga?

Tutaona kama ataahilisha safari ya kwenda marekani kushereheka na mapeace corps kama kweli anaomboleza kifo cha hawa jamaa!

Wewe nadhani una matatizo, nadhani ccm ndio waliofanya kampeni leo?

Ameonesha moyo wa kujali na huruma kama kawaida yake. Sasa mbona magwanda wao wanaendelea na kampeni tu Igunga?

Ameonesha moyo wa kujali na huruma kama kawaida yake. Sasa mbona magwanda wao wanaendelea na kampeni tu Igunga?
Mkuu sometimes kuwa fair, Zitto ameacha kwenda Igunga akaenda Znz ukamkejeli, saizi rais unamsifia, na kama haitoshi unahoji kUhusu campaign za magwanda Igunga, wakati Magamba ndio kwanza hawajajali wakazindua campaign!

so siku 3 za maombolezo alizotangaza watu hawataenda kazini????

mkuu hiyo cha mtoto wiki iajyo anakwenda canda kwenye mkutano anarudi tanzania anakwenda usa tena na group la watuwazito weliojazana kama wanatumia pesa za madini kule shinyanga tkt ziko mikononi

Hv wapenzi na wanachama wa yanga mpo humu? Napita njia jamani...jk karudi sababu alisahau suti zake kesho kutwa anasepa anaenda gambia.

Poleni wafiwa na tunawatakia uvumilivu mwema kwa wale wanaosubiri ndugu zao!

Vichekesho tupu hivi. Unajua ninapo sikia jina la kikwete napata aibu tupu.

Huyu ndio mzee wa majanga Tanzania. Kama janga la Gongo la Mboto, Mbagala, Umeme, Maji na Umaskini sijui huyu jamaa kazaliwa wapi? Maybe nisingehangaika ku-comment kwenye hii thread but I have things to say too.

Unakumbuka serikali ya mkapa wakati wa MV Bukoba na report kama ilitoka kwa wananchi, kuna yeyote yule alichukuliwa hatua? Ilikuwa kama ajali zingine za Tanzania na hii itapita kama wale wana-ccm wanavyotaka na hii si ya mwisho! Wananchi watapewa siku tatu za maombolezo ya titanic. It's all about leadership in Tanzania na hata kama watakuja wengine wakasema ni rushwa au ni uzembe but tutarudi palepale kwenye ofisi ya raisi na uongozi wake. I bet you kuna mtu ata-respond katika hii thread kusema 'kwani kikwete angefanyaje hapa na asingeweza physically kuzuia haya'
Leaders are required to protect their people na zaidi ni kuwa na uwezo wa ku-forecast the concerns and prepare the people. Kikwete anauwezo upi? Nothing nothing nothing ......
http://www.tzaffairs.org/1996/09/tanzanias-titanic-disaster-–-mv-bukoba/

Naona ni wajibu hao kwanza. Kiongozi wa nchi ananafasi kubwa ya kuangalia priorities na ku-safe guide inchi, hili ni jambo la kwanza. Pili kutokana na ajali nyingi kujirudia Tanzania, inaonyesha wazi hakuna wanajifunza kikubwa hakuna enforcement yeyote kuzuia wasimamizi au owners wa hizi biashara kama usafiri kutojaza wasafiri wengi ili kupata faida au laws zinazofuatwa. Ukifuatilia utakuta hakuna records za wasafiri na leo wana-destroy kila kitu ku-avoid ushahidi wakishirikiana na polisi. Loop holes zipo kila mahali Tanzania kuanzia mtoto anapozaliwa muhumbili mpaka huyo huyo mtoto akikuwa kuwa mtu mzima, tunapambana na uzembe na u-ccm kila mahali. Congrats kikwete kwa uongozi bora!

Nawatakia wanachama wa ccm furaha tele na uongozi bora wa kikwete! Kikwete na ccm mtasema nini this time? Tunajua ukweli hii ajali ni avoidable na haitakuwa accountable kwa mtu yeyote yule serikalini ikiwemo cuf.

Hiyo ndiyo hulka halisi ya Jakaya, kujali binadamu wenzake bila kujali lika,dini, idealogy and what have you.

HISTORIA YA MIKASA ILIYOIKUMBA MELI MV SPICE ISLANDER TOKA IMEUNDWA UGIRIKI, KUUZWA HONDURAS NA KUNUNULIWA NA MTANZANIA HUKO ZANZIBAR:

Her capacity was 45 crew and 645 passengers.[SUP][1][/SUP] At around 01:00, (local time) on 10 September (23:00, 9 September UTC) Spice Islander I sank between Zanzibar and Pemba. Of those on board, 235 were rescued, with 40 of them suffering serious injuries. At least 200 people were killed.[SUP][3[/SUP]

In 2007,[SUP][1][/SUP] she was sold to Makame Hasnuu, Zanzibar, Tanzania.[SUP][2][/SUP] and renamed Spice Islander I.[SUP][3][/SUP] On 25 September 2007, Spice Islander I was off the coast of Somalia when she experienced engine problems due to contaminated fuel. After the alarm had been raised via Kenya, USS Stout from Combined Task Force 150 was sent to her aid.[SUP][4][/SUP] The ship was on a voyage from Oman to Tanzania and was not carrying any passengers. USS James E. Williams also responded. Stout provide the ship with 7,800 US gallons (30,000 l; 6,500 imp gal) of fuel and supplied the ten crew with food and water. After her engines were restarted, she resumed her voyage to Tanzania.[SUP][5][/SUP]

The ship was 60.00 metres (196 ft 10 in) long, with a beam of 11.40 metres (37 ft 5 in). She was assessed at 836 GRT, 663 NRT, 225 DWT. The ship was propelled by two Poyaud 12VUD25 diesel engines, of 1,560 horsepower (1,160 kW).[SUP][1]

[/SUP]Built in 1967 as Marianna for an unknown owner,[SUP][1][/SUP][SUP][2][/SUP] she was later sold to Thelogos P Naftiliaki, Piraeus, Greece.[SUP][1][/SUP] In 1988,[SUP][2][/SUP] Marianna was sold to Apostolos Shipping and renamed Apostolos P. She was later sold to Saronikos Ferries and placed in service on the Piraeus - Aigina - Angistri route.

On the picture above is the MV Spice Islander I under tow by USS Stout in 2007

118975.jpg

Apostolos P - IMO 8329907 in year 2005 before it was sold and later on renamed MV Spice Islander I http://www.shipspotting.com/gallery/photo.php?lid=118975

1091612.jpg

MV Spice Islander photo taken on 21/12/2009

Source and more info : MV Spice Islander I - Wikipedia, the free encyclopedia

Hivi kwa nini watanzania tuna-risk maisha yetu kwa kutumia vyombo vya usafiri vyenye umri mkubwa kiasi hicho? Hivi hatuna sheria za kuzuia mikweche ya aina hiyo! Chombo kiliundwa kabla sijazaliwa na leo nina umri zaidi ya miaka 40 lakini bado kinaendelea kusafirisha roho za watu!

Vyombo vya habari vya nchi za nje, vimeitangaza hii ajali kwa kipaumbele mkubwa tofauti na hapa kwetu, ndo maana bwana mkubwa kaona aibu mataifa yatamshangaa.

Lakini sio kama anasikitika watu wamepoteza maisha, anasikitika kwa kuahirisha safari kutokana na msiba.

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom