Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Status
Not open for further replies.
Kombani - utumishi
mkuchika - utawala bora
samia - ofisi ysa makamu
luoga - mazingira
nagu - uwekezaji na uwezeshaji
lukuvi - sera uratibu na bunge
ghasia - tamisemi
sita east africa
nahodha - ukoro
magufuli - ujenzi
mwinui - afya
kawambwa - elimu
sofia simba - jinsia warembo na watoto
membe - mambo ya nje
chikawe - katiba na sheria
nchimbi - mambo ya ndani
david m david - mifugo na uvuvi
kabaka - kazi na ajira
mbarawa - sayasi na technologia
tibaijuka - ardhi nyumba na makazi
chiza - kilimo chakula na ushirika
maghembe maji na umwagiliaji
mwakyembe - uchukuzi
fenela mukangara - habari michezo na utamaduni
kagasheki - maliasili na utalii
kigoda - viwanda na biashara
mgimwa - fedha
mwamdosya asiye na wizara maalum
Muhongo - Nishati na madini
 
Baraza Jipya la Mawaziri, Je JK nae atakuwa mpya katika kuwadhibiti mawaziri wake
 
....usiposikia jina lako, mtafute Hosea na DPP kesho, wana faili...
 
Mh. Rais kikwete ateua baraza la mawazi jipya baada ya malumbano ya muda mrefu. Lakini je, kumbadilisha mtu wizara ndio suluisha ya ufisadi na ubatilifu wa mali za serikali? Ndugu za hili mm naona hawa magamba wanataka waendelee kutesa raia na kumalizia walichobakisha. Cjui waheshimiwa mnasemaje..! Inaniuwa sana kusikia mafisadi wanaendelea kushikilia nchi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom