Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

Ha! Ha! Ha! Sasa Ngeleja badala ya kurudisha hela kwa mwenyewe Rugemalila eti anirudishia serikali ! Changa la macho ili ateuliwe waziri wa Nishati na Madini .

Poor ccm , Poor Ngeleja !
 
Zigo aliangushiwa mwanasheria Mkuu(sijui alikuwa nani kipindi hicho)
=====
"Mfilisi aliagizwa kuhamisha kwa PAP kutoka IPTL ikiwemo akaunti escrow, ilizua mjadala mkali. Wizara ya nishati ilimwandikia mwanasheria mkuu kuomba ushauri, Mwanasheria akasema lipeni, uamuzi uko sawa na hauna matatizo na benki kuu wakauliza maswali hayo hayo na majibu yakawa yaleyale. Kuzingatia ushauri huo akaunti ikafungwa na pesa kukabidhiwa PAP. Mjadala ukaendelea bunguni na kwenye mablogu."
 
Back
Top Bottom