Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

Indeed, ten years without a president! What a loss? Kwake ni faida maana amekwepua alichoweza kubeba ikulu na akatibiwa tezi dume kwenye hospitali ghali sana duniani kwa gharama za lofa mlipa kodi wa Mtwara. Anaondoka madarakani akiiacha nchi very desperate and divided. Shame on this nut president of the Chinese-made Professor.
 
Katika mjadala wa kikao cha bunge cha 16 na 17,
waziri wa ofisi ya Rais kazi maalum PR.MARK JAMES MWANDOSYA akichangia mjadala huo alisema fedha za ESCROW ni mali ya umma lakini bosi wako amesema kuwa zile fedha si za umma.
Hivyo ni bora ukaachia ngazi.

Tezi dume amepotosha umma,
kama mgogoro kati ya iptl na tanesco bado ulikua haujaamuliwa kwanini hizo pesa ziwe za iptl wakati kuna pesa za pesa kuwa overcharged, haya kuna kodi....
 
Ukiona mtu amefikia stage ya kumuita mkuu wa nchi shoga ujue kachoka, na kama si kulindwa na dola basi adhabu nyingine alikuwa anastahili kuchapwa makofi, we unayekereka kajinyonge.
 
Wakati wa kampeni 2005, kuna rafiki yangu Mkenya aliniuliza mbona watz Wanapenda sana huyu bwana. Akasema this is not a president material. He is not a politician either. Mimi sikumwelewa. Lakini punde tu nilianza kuyakumbuka maneno ya rafiki yangu na nimeyaishi kipindi chote.
We have experienced the biggest scandals ever ambazo zimetuachia hasara kubwa. Na inasemekana jamaa alisuka mipango yote pindi akiwa waziri ili akiingia Ikulu ni kupiga tu. Ndo tunayaona hapa wezi wanakuwa protected na Ikulu. What a shame kwenda kinyume na maazimio ya bunge la watu 300+.
We have wasted all ten years without a president for sure na itatughalimu.

It is not the first time for Tanzanians to go 10 years without a president. And by the way we are always fine n we go ahead and repeat the same mistake. Wait 2015, n you will be suprised.
 
Kwani Julius Nyerere (RIP)alisema nini 1995? Na kwa vile waTanzania ni mambwila/mabwege kuna mtu mwingine wanamshadadia na kuna uwezekano 2015 akaingia magogoni. Ni huyu jamaa mwenye nywele nyeupe.

Umeanza vizuri umeharibu mwishoni. Kha!
 
Rais amesema kwa kinywa chake kuwa kuwa mgogoro wa Tanesco na Iptl ulikuwa kituo cha usuluhishi migogoro kule Uingereza.msuluhishi yule aliwashauri wakae wachambue na kufanya malinganisho ya madai yote then warudishe taarifa kwa msuluhishi,hilo halijafanyika.pili kituo kile au mahakama hiyo ndicho chombo chenye maamuzi ya mwisho(final and conclussive) na hakuna chombo kingine cha kuhoji.ilikuwaje Iptl wakavunja makubaliano na Tanesco kija kufungua kesi mahakama kuu wakati mahakama hiyo haikutajwa kwenye mkataba?je kama kesi ilikuwa katika hatua ya kufanya hesabu upya(recalculation) hela zilitolewa vipi bila ya idhini ya msuluhishi??tatu kuna Daktari muhimbili amepata mgao wa Escrow amehusika vipi na maswala ya umeme?kuna uhusiano kwa mbali labda kati ya daktari wa Muhimbili,kifo cha gafla cha aliyekuwa waziri wa ....nae ni Doctor pia ni mb ukipita makambako kushoto.naombeni mnisaidie kuelewa
 
It is not the first time for Tanzanians to go 10 years without a president. And by the way we are always fine n we go ahead and repeat the same mistake. Wait 2015, n you will be suprised.
Tuende vijijini tukatoe Elimu japo tuwape mwanga watu wetu wanaonunuliwa kwa pombe.
 
Namwona Makonda Star TV. This guy drives a V8, unategemea atasema nini juu ya CCM. We have been tuned to praise just few top puppets in CCM destroying our Country.
 
Katika mjadala wa kikao cha bunge cha 16 na 17,
waziri wa ofisi ya Rais kazi maalum PR.MARK JAMES MWANDOSYA akichangia mjadala huo alisema fedha za ESCROW ni mali ya umma lakini bosi wako amesema kuwa zile fedha si za umma.
Hivyo ni bora ukaachia ngazi.

Kama TD anaona hafai amtoe aone cha moto!
 
Wakati wa kampeni 2005, kuna rafiki yangu Mkenya aliniuliza mbona watz Wanapenda sana huyu bwana. Akasema this is not a president material. He is not a politician either. Mimi sikumwelewa. Lakini punde tu nilianza kuyakumbuka maneno ya rafiki yangu na nimeyaishi kipindi chote.
We have experienced the biggest scandals ever ambazo zimetuachia hasara kubwa. Na inasemekana jamaa alisuka mipango yote pindi akiwa waziri ili akiingia Ikulu ni kupiga tu. Ndo tunayaona hapa wezi wanakuwa protected na Ikulu. What a shame kwenda kinyume na maazimio ya bunge la watu 300+.
We have wasted all ten years without a president for sure na itatughalimu.

Twenty years. A lost generation!!
1985 - 1995
2005 - 2015
 
Umeanza vizuri umeharibu mwishoni. Kha!

Mkuu kumbuka kauli ya Nyerere kuhusu huyu mtu in 1995 pale alipoenguliwa mapema hatua za awali, may be ulikuwa mtoto bado. Alimkataa mapema kabisa. Subiri tukaribie uchaguzi mwakani uone machapisho na kauli za mwalimu kumhusu. Ila kwa vile waTanzania ni mabwege watampa tiketi ya magogoni baadae waanze kulialia tena kwa miaka 10 mingine
 
Tezi dume amepotosha umma,
kama mgogoro kati ya iptl na tanesco bado ulikua haujaamuliwa kwanini hizo pesa ziwe za iptl wakati kuna pesa za pesa kuwa overcharged, haya kuna kodi....

Miaka 7 umekalia hela ya mtu tena isiyozaa riba,haikuwa haki jamani.TANESCO ndo alikuwa mlalamikaji, ilikuwaje wasitafute msuluhishi muda wote huo?Kwa maana hiyo hkumu ya mwanzo inaendelea kusimama.
 
Ndo umuite s.h.o.g.a...!!!?? Unajua maana ya shoga kweli...!!!?? Kama unajua ni halali rais wa nchi yetu kuitwa shoga...??? Wewe utakubali kuitwa shoga ukiwa na familia yako...!!!! Hapana this is too much na umekwenda mbali mno mkuu. Hekima ya mtu huonekana hata katika maandishi yake. Kama kweli wewe ni mwanadamu mwenye utashi huwezi kamwe kumuita binadamu mwenzako wa kiume shoga...!!!!! Mashoga tunawafahamu na wanalolifanya ni kinyume na maadili yetu...!!!!! Sasa iweje leo Rais wetu aitwe shoga....!!!! Mkuu badilika sana tena sana. Jazba isikupelekee kuropoka mambo mabaya kwa mwenzako. Ni ushauri tu wa bure Mkuu...!!!
Inaniuma sana kuona pesa za walipa kodi wanyonge zinatumika kwa maslahi ya watu binafsi . Hebu fikiria hii KATIBA imechakachuliwa, shule hazina madawati na vifaa vya kufundishia,hospitali hazina wataalam wa kutosha pamoja na vifaa hasa vijijini, wafanyakazi wanalia kila kukicha mishahara kiduchu makato kibao, wanafunzi vyuo vikuu wanakosa mikopo,wakulima na wafugaji kila kukicha migogoro,Vijana wanahaha kila kukicha kwa kukosa ajira na mazingira mazuri ya kujiajiri.
Leo hii nchi wahisani zaidi ya kumi na mbili zimesitisha misaada zaidi ya dola milioni 120, kwa sababu ya matumizi mabaya ya fedha za uma na mwaka wa fedha unaisha after six months to come. Alafu anashindwa kuwa serious na kumumunya maneno kwenye mambo sensitive kama haya.Then wanajitapa MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA.
Sasa huo mlolongo wote wa matatizo makubwa kama haya unadhani huo ni uongozi bora?, na unapata wapi confidence ya kumtetea?
Nina mashaka na uzalendo wako. Think twice before you decide to do so...! Anyway tuvumiliane hiki ni kipindi kigumu!!
 
Kizazi kijacho kitatulaumu kwa kupoteza miaka 10 kama taifa.

"Hatuchagui mtu kwa sura, kama umependa sura ya mgombea mwalike ukanywe nae chai. Tunataka mtu ambaye tukimwangalia usoni tutaona picha ya yale anayoyaongea". Nyerere 1995.

Haya maneno bado yana nguvu sana. Sokoine kwa waliomfaham was that person.
 
Inaniuma sana kuona pesa za walipa kodi wanyonge zinatumika kwa maslahi ya watu binafsi . Hebu fikiria hii KATIBA imechakachuliwa, shule hazina madawati na vifaa vya kufundishia,hospitali hazina wataalam wa kutosha pamoja na vifaa hasa vijijini, wafanyakazi wanalia kila kukicha mishahara kiduchu makato kibao, wanafunzi vyuo vikuu wanakosa mikopo,wakulima na wafugaji kila kukicha migogoro,Vijana wanahaha kila kukicha kwa kukosa ajira na mazingira mazuri ya kujiajiri.
Leo hii nchi wahisani zaidi ya kumi na mbili zimesitisha misaada zaidi ya dola milioni 120, kwa sababu ya matumizi mabaya ya fedha za uma na mwaka wa fedha unaisha after six months to come. Alafu anashindwa kuwa serious na kumumunya maneno kwenye mambo sensitive kama haya.Then wanajitapa MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA.
Sasa huo mlolongo wote wa matatizo makubwa kama haya unadhani huo ni uongozi bora?, na unapata wapi confidence ya kumtetea?
Nina mashaka na uzalendo wako. Think twice before you decide to do so...! Anyway tuvumiliane hiki ni kipindi kigumu!!

Simtetei rais. Kinachoniuma ni wewe kumtukama matusi makubwa namna hii..!!!! Anayoyafanya kama kiongozi wetu yanaumiza sana. Tatizo ni matusi yako. Katika mengine niko nawe lakini kwenye matusi hapana usifanye hivyo mkuu. Bado ni kiongozi wetu huyu mkuu...!!!! Wote tunaumia lakini ndo aitwe shoga..!!! Hapana ndugu yangu you have gone too far...!!!
 
KIKWETE; mahakama ilitoka taarifa kuwa kila mmoja akabidhi hisa zake lakini je atamkabidhi nani?

KIKWETE; baaada ya maamizi ya mahakama, mjadala ukazula Bungeni kwamba pesa zimechotwa,

KIKWETE; mwanasheria mkuu wa serikali alinambia mahakama haikufanya makosa katika uamuzi wake.
Kikwete jiuzulu
 
Back
Top Bottom