Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

Nimeshangaa sana leo baada ya kupata majumlisho ya uchaguzi wa serikali za mitaa nchi nzima baada ya kuwasilishwa na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, kuna watu walifungua thread nyingi humu na kelele na matusi ka desturi yako ya kuporomosha matusi kila unapokuwa against nao hata kama hakina mshiko,
Takwimu ya uchaguzi nchi nzima ni CCM 75%
Chadema 15%
Cuf 12%
NCCR Mageuzi 0.1_
Na hii baada ya kusambaza propaganda za escrow tu.
Nadhani mwakani baada ya CCM kuwekana sawa na escrow kusahaulika ukawa itabakia historia tu.
Nawasirisha bila matusi nadhani mtachangia bila mtusi.
 
jk angeyaongea haya kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa nazani ccm wangeshinda mtaa wa magogoni tu
 
JKikwete: Azimio la kwanza, tumepokea pendekezo hilo, linawezekana kufanya lakini katika kipindi hiki, tutawatisha wawekezaji kuja kuwekeza
 
Sema baba sema. Akina Tumbili wazidi kuumbuka

https://www.jamiiforums.com/member.php?u=20903What a non brain cell idiot, Kikwete misleads the people of Tanzania every time he opens his fat filthy mouth. More than 60% were happy to vote for this thief, liar, idiot, incompetent, ignorant fornicating man, that's the scary part.. Kikwete doesn't care and his pathetic supporters like sadalla and Lizaboni brainless idiot have been blinded by his continuous false promises and lies.

Mkuu EMT Kikwete has never ever accepted responsibility for anything.
 
kuna watu wanatia hasira sana! kuna muda nakaa nawaza niachane na kufatilia siasa za tz ila naona nafsi inanisuta kwani nitakua namsusia nani! ila kuna watu wanakera

Siasa za nchi hii zinatia hasira.....
 
sisi wananchi hatutaki siri za kutengeneza za makampuni,tunataka mkataba ni wa shilingi ngapi na sisi tunapokea shilingi ngapi..
 
Hii mahakama mkuu wake ni malkia na ndiye anatushangaa kumpa mtu fedha asiyestahili wakati hiyo kampuni ni ya royal family inasema hisa zao hawajamuuzia PAP?
Nasikitika sana Rais wa Nchi anapopotosha vitu ambavyo vipo wazi.
Hapa saiz anatetea tu wezi na wawekezaji matapeli.
 
Sasa CCM mbona hawataki ku declare kwamba sio wajamaa. Yaani hawabadilishi hiyo ideology ya Ujamaa na Kujitemea.
 
Amesema Sakata la ESCROW lilisimamiwa kidete na wabunge wote wale wa Upinzani na wa CCM na siyo wapinzani kama ambavyo walikuwa wanajigamba. Rais amewalaumu wabunge wa CCM kwa kutosema ukweli kuwa wao ndiyo wlilisimamia kidete hasa ukizingatia kuwa wao ndiyo waliokuwa wengi kwenye kamati ya PAC, kamati ya maridhiano n.k.
 
Back
Top Bottom