Rais Kikwete anaweza asikubali kukabidhi nchi CCM ikishindwa

Tumuite Mungu akalipiganiye taifa lake na watu wake.
Haki uinua taifa.
Mungu wa majeshi kasimame imara kwa ajili ya haki ndani ya taifa hili ukiwakumbuka wagonjwa walolazwa chini; wanafunzi wasona mwalimu wala dawati; akina mama wanaojifungulia kwenye sakafu nk.
Jina lako likapate kuinuliwa kati ya watu wako. Amen
 
Kwa uchaguzi wa awamu hii Mungu mwenyewe yupo kazini kabisa. Yeyote atakayetumia nafasi yake kuharibu uchaguzi huu ajiandae kupambana na mkono wa Bwana. Na siku zote yeyote ashindanae na Mungu lazima huishia kupumzika kwa amani
 
Anatakiwa ajue hii nchi ni ya watanzania yeye tulimpatia kuiongoza kwa muda wa miaka kumi kama sisi waajiri wake tumeamua kubadiri mfanyakazi hili aongeza speed ya maendeleo kwa nini asipishe hakuna sababu za msingi zitakazomfanya asitukabidhi nchi watu wamechoka wanaitaji kitu kipya hili wao wapate muda wa kukijenga upya ataeshimiwa na mataifa yote kama ataiachia nchi kwa amani ataenziwa na vizazi vyote na tutamuita shujaa aliye kubari maamuzi ya watanzania
 
Nchi hii si ya wapiga dili, pia anayewambia kuwa ccm inashindwa ni nani? watu wenyewe mnatapatapa mara mnashitaki ICC hii ni akili ndogo ya gege la wapiga dili, kwa akili ndogo wanaona kuwa wanamtisha JK- JK ni mtoto wa mjini kuliko hilo genge mara 100- upande Mr.0 upande ED, kweli inadhihirisha chadema haina viongozi makini.

Jk mtoto Wa mjini ?? Ungeniambia Marehemu Ditopile walau ningekuelewa
Mtoto Wa mjini na mamlaka yote aliyonayo ameshindwa kumdhibiti Lowasa kuwa juu ya chama sasa born town ni Nani hapo ????
 
Nchi hii si ya wapiga dili, pia anayewambia kuwa ccm inashindwa ni nani? watu wenyewe mnatapatapa mara mnashitaki ICC hii ni akili ndogo ya gege la wapiga dili, kwa akili ndogo wanaona kuwa wanamtisha JK- JK ni mtoto wa mjini kuliko hilo genge mara 100- upande Mr.0 upande ED, kweli inadhihirisha chadema haina viongozi makini.

genge la wapga dili ni ccm wote,acha ushabiki wa kipuuzi
 
Hakuna vya bure mama monges :D elfu tano uliyopewa lazima uilipie hata kwa kushikishwa uquta[/QUOTE

Eti mtoto wa mjini kweli njaa mbaya mtaweweseka sana mnaogeuza ccm ndio biashara yenu ya kuwaletea mapato
Fanyeni kazi acheni kulelewa ma chama
Mwaka huu tutawaoa wote tuwajaze mimba na watoto tuwaite mkombozi
 
Last edited by a moderator:
Rais tajiri na chama tajiri hawezi kung'ania ikulu, kwani wana cha kufanya lakini masikini wanafikiria njaa wataipeleka wapi? Matajiri wanataka kuandika historia ya kuifanya nchi yao tajiri na inayoheshimika duniani, na wabaki kwenye kumbukumbu za dunia, jiulize wapi kuna kumbukumbu ya masikini mwa mwisho duniani alikufa lini? au raisi aliyeingia madarakani na kuifanya nchi yake masikini utamsoma ktk kitabu gani duniani? Hata nyerere hana umaarufu kama Mandela kwa sababu ya umasikini, aliiacha nchi ikiwa masikini, alikua na nafasi ya kuifanya nchi iwe tajiri, ndio maana alifia uingereza kwa maadui zake, Mandela alifia nchini mwake kwa wananchi wake, ukiwa na akili ya kutosha utafikiria nikwanini? Ukiwa na rafiki masikini utakua masikini! Rafiki wa nyerere ni mchina,kiuba na mrusi na atikadi za kijamaa, wao wakazikimbia mapema yeye akaendele kuzikumbatia, sijaona mahali popote akiliongelea kosa hilo,kiuba ndio wanastuka sasa, Tunahitaji chama chenye itikadi nyingine na viongozi wenye itikadi ya utajiri, na wanotaka nchi na wanachi waheshimike kimataifa na sio kuomba kama wakoma kila siku.
Zuma walimshangaa kuongea na sim wakati Obama anakuja kumsalimia, alikua na uthubutu huo kwani nchi yake sio masikini, kama angekua raisi wa nchi masikini angeitupa mbali haraka, hayo ndio maisha ya tajiri,
kama wewe ni masikini au kipato kidogo, jitahidi umvishe mtoto wako vizuri siku moja na mpeleka mtoto wako sehemu ya kuchezea watoto wenye pesa za juu kidogo kukushinda na kaa pembeni ndio utajua umasikini ni maisha mabaya, unatakiwa upigane kufa na kupona usiwe masikini na famila yako isiwe masikini na kama kuna mtu anafanya chochote kukusabishia umasikini utapigana naye kwa nguvu zako zote.
 
Alikua anapenda kunyooshea vidole wenzake kua hawataki kukaa meza moja wayamalize sasa na sisi tunajua rowasa ndio raisi amkabidhi kijiti kiroho safi lasivyo anaenda kuharibu sifa yake na kupelekwA the hague fasta yamemkuta mwaka huu asiempenda kaja
 
Wadau nimefuatilia matamshi kadhaa wa kadhaa ya mkuu wetu inaonekana dhahiri shairi kutokuwa tayari kukabidhi madaraka kiungwana kwa Rais ajaye kama CCM ikishindwa.

Rai yangu kwa Watanzania wote wapenda haki na amani tuombe sana na kwa mzigo juu ya taifa letu.

Ajenda za kuombea 1) Mungu aingilie kati Tume ya Uchaguzi itende haki.

(2) Mungu aingilie kati mamlaka iliyopo ya nchi iweze kukabidhi madaraka bila misuguano wala vurugu.

Hawezi kukataa hata afanyeje, na akikataa kumuachia Musa awachukue wana wa israel, Mungu atamshushia mapigo Saba ya farao, ata- hachia mwenyewe!!!

Jambo lingine, kuna tetesi kuwa

Muda si mrefu, anatarajia kwenda marekani kuangaliwa maendeleo ya tezi tume kama limepona kabisa au la!! hivyo akiondoka tu makamanda wanatinga white house!

Hoja yako ya maombi ni Muhimu, Mungu yuko kazini
 
Hapana,hiyo haiwezekani,that would be tantamount to a coup.Jumuiya ya kimataifa inaangalia na sidhani kama pamoja na mauzauza na matatizo yote aliyo nayo angependa kufika huko.Ila sijui bwana,mbona hajavunja bunge labda wanapanga kuendelea.Wanachopanga na serikali yake kwa kweli sikijui.
Wadau nimefuatilia matamshi kadhaa wa kadhaa ya mkuu wetu inaonekana dhahiri shairi kutokuwa tayari kukabidhi madaraka kiungwana kwa Rais ajaye kama CCM ikishindwa.

Rai yangu kwa Watanzania wote wapenda haki na amani tuombe sana na kwa mzigo juu ya taifa letu.

Ajenda za kuombea 1) Mungu aingilie kati Tume ya Uchaguzi itende haki.

(2) Mungu aingilie kati mamlaka iliyopo ya nchi iweze kukabidhi madaraka bila misuguano wala vurugu.
 
Doh! CCM ishidwe halafu akatae kukabidhi nchi? ajiandae kutokea mlango wa nyuma wa Ikulu.
 
Wadau nimefuatilia matamshi kadhaa wa kadhaa ya mkuu wetu inaonekana dhahiri shairi kutokuwa tayari kukabidhi madaraka kiungwana kwa Rais ajaye kama CCM ikishindwa.

Rai yangu kwa Watanzania wote wapenda haki na amani tuombe sana na kwa mzigo juu ya taifa letu.

Ajenda za kuombea 1) Mungu aingilie kati Tume ya Uchaguzi itende haki.

(2) Mungu aingilie kati mamlaka iliyopo ya nchi iweze kukabidhi madaraka bila misuguano wala vurugu.

Mbona Magufuli keshashinda 69%??
 
Kagame ameshampa changamoto. Lowasa anashinda, kabidhi nchi kwa ustaarabu kabisa.
 
Hata ingekuwa mimi nisingekabidhi nchi kwa majangiri kwasababu tu eti watanzania wa chini wamerubuniwa na pesa za mafisadi
 
wadau nimefuatilia matamshi kadhaa wa kadhaa ya mkuu wetu inaonekana dhahiri shairi kutokuwa tayari kukabidhi madaraka kiungwana kwa rais ajaye kama ccm ikishindwa.

Rai yangu kwa watanzania wote wapenda haki na amani tuombe sana na kwa mzigo juu ya taifa letu.

Ajenda za kuombea 1) mungu aingilie kati tume ya uchaguzi itende haki.

(2) mungu aingilie kati mamlaka iliyopo ya nchi iweze kukabidhi madaraka bila misuguano wala vurugu.

ccm haiwezi kushindwa
 
Wadau nimefuatilia matamshi kadhaa wa kadhaa ya mkuu wetu inaonekana dhahiri shairi kutokuwa tayari kukabidhi madaraka kiungwana kwa Rais ajaye kama CCM ikishindwa.

Rai yangu kwa Watanzania wote wapenda haki na amani tuombe sana na kwa mzigo juu ya taifa letu.

Ajenda za kuombea 1) Mungu aingilie kati Tume ya Uchaguzi itende haki.

(2) Mungu aingilie kati mamlaka iliyopo ya nchi iweze kukabidhi madaraka bila misuguano wala vurugu.

"Kuhubiri kuhusu demokrasia ni jambo moja na kusimamia demokrasia ni jambo jingine!!Kama Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki tunafuatilia yale yanayoendelea Tanzania wakati ikielekea katika Uchaguzi wao Mkuu; hivyo tuna hamu ya kuona rafiki yetu na Mwenyekiti wetu anayesimamia jumuiya yetu akithibitisha kwetu namna demokrasia inavyotakiwa kusimamiwa kwa vitendo nchini Tanzania ili ajitofautishe nami ama na Nkurunzinza"...Kagame, Paul....Je unakubaliana na Paul Kagame kwa niaba ya Viongozi wenzake wa Afrika Mashariki? Unadhani Jakaya Kikwete anatakiwa kuwathibitishia namna demokrasia inavyotakiwa kutekelezwa kwa mambo gani?..Je kunaviashiri vyovyote vya demokrasia kuvunjwa chini ya Usimamizi wa Jakaya Kikwete?..Usiogope TIRIRIKA!!
 
Back
Top Bottom