Rais Kikwete amteua Dr. Migiro kuwa mbunge

Rais Kikwete amteua Dkt. Migiro kuwa Mbungu

Rais Jakaya Kikwete amemteua Dr. Asha-Rose Migiro kuwa Mbunge.

Kaimu Katibu Mkuu Kiongozi, Dr. Florens Turuka amesema uteuzi huo umeanza jana, Desemba 2, 2013.

Source: Ikulu
 
Kwa mema gani aliyoifanyia Tanzania ambayo ni ya kipekee (Special merits) kwamba anatakiwa kupewa ubunge wa bure tuongezea mzigo mzito walipa kodi. Amerudhishwa UN for under performance sisi tunamzawadia ubunge wa bure. Hii nchi itatuchukua miaka mingi mno kuendelea
 
Katiba inamruhusu. Huenda akam.replace waziri wa elimu aliyetajwa kuwa kilaza!
 
Mmmh! haya sasa majanga.. hivi kuna vigezo vya uteuzi wa namna hii? au ndo ile "appointee is appointed under the discretion of the appointer"

ULITAKA IWE Appointee is appointed under the Discretion of Mtei's Family and his Allies?.
 
Du!
Haya sasa, jembe hilo.
Mawaziri 5 mliotajwa kuwa ni vilaza kaeni mkao wa kuondoka!

Haya ni maandalizi ya 2015 sio zaidi ya hapo. Unadhani yeye akiwa katibu wa mahusiano ya kimataifa anafanya nini katika ziara za ndani mikoani za Nape na Kinana mikoani? Anyway Time will tell!
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom