Rais Kikwete amteua Bibi Mwanahamisi Omari Kitogo kuwa msaidizi wa Rais katika Huduma za Jamii

hii inaonyesha jinsi gani watu wa UWT wapo kila ofisi.bibie alikua ni mmojawapo
 
JK bana, haishi vihoja, Ukadiriaji majengo na huduma za jamii wapi na wapi? COWI (a private company) na mambo ya huduma za jamii (Government business) wapi na wapi? Au ndio anamsogeza karibu, isiwe anawasumbua usalama wa taifa-ccm, kumuescoti anapokuwa anatoka ikulu kwenda kupasha misuli....

Hamuelewi nini kuhusu "Huduma za Jamii"? Sio kila kitu lazima muambiwe kwa uwazi bana, aaaaaaaaghrrrrr.

Huyo ndo Rais Handsome, chezea JK weye?
 
JK bana, haishi vihoja, Ukadiriaji majengo na huduma za jamii wapi na wapi? COWI (a private company) na mambo ya huduma za jamii (Government business) wapi na wapi? Au ndio anamsogeza karibu, isiwe anawasumbua usalama wa taifa-ccm, kumuescoti anapokuwa anatoka ikulu kwenda kupasha misuli....

uko sawa kabisa mkuu well said
 
Hivi huyu Rais wetu atakua lini jamani-yaani msaidizi wa Rais from nowhere, then tulalamike kuvuja kwa siri za Ikulu? Na je ni Rais mwenyewe ndo anapendekeza na kuteua au ile "system" yetu kama zamani?
Enzi sisi tunasoma UDSM kulikuwa na kitu tulikuwa tunaita "MARKS za CHUPI", nina wasi wasi kwamba na mkuu huenda naye anatoa "VYEO VYA CHUPI".
 
Samahani wakuu-nilikuwa napanga panga ratiba yangu ya wiki hapa. Nisaidieni, huyu mteuliwa anakula kiapo lini na wapi?
 
Kama namuona JK vile "hivi bi Mwanahamisi hajapata shavu vile eeh,cjui nimweke wapi awe karibu hapa na vile huduma yake ilivyosafi?" uzuri wa Jk bwana huwa ni mtu wa kulipa fadhila
 
Jamani tupunguzeni udini!
Wakristo nasi tunataka kuiga kulalamika na kunung'unika!?
Tuwaachieni wenye tabia hiyo waendelee!
Tusomesheni watoto wetu na kuwaandalia mazingira ya kujitegemea kwa kujiajiri ama kuajiriwa.

Hakuna shaka kamanda.

Ila QS ni Kalembo
 
Ngoja na mm niteue sasa heeee..... Namteua Ndugu Wasira kuwa Waziri Maliasili na utalii ---- hapa atafaa
Namteua ndugu Vicky Kamata kuwa Waziri wa michezo na starehe na Prof: Maji marefu kuwa Waziri wa Unajimu, kukinga majanga na tambiko
 
Mmmmmmmm hapa panajambo, kweli JK haishi vituko, kila jukicha lazima asemwe kwa vituko vyake. Huyu lazima anamsaidia mama. Haya QS kazi kwako.

Wandugu Msilolijua ni kama usiku wa Giza . Huyu atakuwa msaidizi wa F/LADY na pia ni ndugu yake wa karibu huyo mke wa Rais wa kutokea Lindi anachukua nafasi ya Fatma Mwasa aliekuwa Msaidizi wa Rais masuala ya Jamii . Mama naona amemwambia mzee anataka kufanya kazi na ndugu zake, nanyi ombeni ndugu yenu awe Rais mfaidi matanda yake .
 
Back
Top Bottom