Rais Kikwete amteua Alan Kijazi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa (TANAPA)

Bila shaka atapunguza kama hatautokomeza ukiritimba. Pia ataimarisha ulinzi wa maliasili yetu.
 
Mimi ni mdau wa utalii and I know TANAPA very well. Sina shida na Kijazi when it comes to execution as he has right hand people to run the technical part, and use them. There are competent people like Kisamo (Ecolology) Dembe (Projects) Kessy(Planning) Manase(Tourism).

Ila kuna shida moja naipata na TANAPA, DG's watatu wote waliopita hakuna alieondoka vizuri yaani hakuna alie staaf kwa mujibu wa taratibu zetu yaani miaka 60.

1. Mzee Babu - Hatujui kilicho muondoa na sasa hivi yuko Arusha anafanya tu shughuli zake ndogongodo
2. Mzee Melamari, nae alindoka tu bila kujua na sasa hivi mzee yuko tu Arusha sijui hata anafanya nini mana huwa nakutana nae mpaka kwenye dala dala
3. Bigurube nae aliondoka tu ghafla na sasa hivi kaajiriwa Frankfurt Zoological Project kule Serengeti kama project manager/pilot

Sasa bwana Allan inatakiwa ufanye kazi sana as you have below stakeholders to impress and all of them are delicate and observants

1. Communities surrounding TANAPA
2. Investors
3. Donors
4. Board of Directors
5. POAC
6. Ministry
7. Staff
8. State house
 
Back
Top Bottom