Rais Kikwete amfunika 50 cent (Picha)

Matatizo yenu haya wezi kwisha, mungu mwenyewe anataka muwe nayo wakina bob mbona kina Mchonga waliuza sana na bob marley enzi hizo. Ndio maana mnaona maendeleo ni madini wakati walioona watu pia ni rasilimali wako mbali, 50cent ni celebrity na kumbeza sio sawa. Mbona wengine wabunge kwetu hatuwezi kuwa na jamii ya wasomi tu.
Bora wanamuziki na wasanii mchango wao katika jamii unaonekana bila semina, wasomi na watu mnao waita makini ndio wametufikisha hapa tulipo, na ndio maana matatizo yenu mmeyapa tume.
 
Baba Ritz anataka kutoa remix ya wananigeukia ndo maana ya kumfunika 50 Cent au sijalewa vizuri, lete tembo lisilochakachuliwa labda nishai/ handasi itakuwa muafaka
 
et anataka 5o aje tz akapige bonge la shoo igunga maana komba,ze komedi na bakwata wameshachokwa ko mikutano haiendi kwa ccm.
 
attachment.php
attachment.php

Wakuu tuweni serious kidogo........hata hao watu waliopembeni wanamshangaa huyu raisi wa nchi gani? Wale wanaojifanyaga watetezi wa huyu jamaa semeni hapa maana yake nini? Hata Mama Salma atazimia akiona picha hizi............Wakuu MAMA SALMA amezicheki hizi picha lol!!
 

Wakuu tuweni serious kidogo........hata hao watu waliopembeni wanamshangaa huyu raisi wa nchi gani?

Nadhani wanajiuliza pia ni watu gani wanaweza kumchagua mtu kama huyu kuwaongoza...
 
Hata kupiga picha kunazua mjadala! Aliyepigwa picha na ninyi mnaomjadili kuna tofauti gani sasa.
 
Gazeti la nipashe ukurasa wake wa mwisho leo umetoa picha ya rais wa tz akiwa na rapa 50 cent. Nikajiuliza rais akikutana na mtu kama huyo wanakuwa wanazungumzaa nn?uwekezaji katika sekta ya sanaa Tz?au kitu gani?

Huenda jinsi ya kusaidia vijana wa kitanzania katika fani za muziki , Au pia katika kutoa michango ya kimaendeleo kwani mimi na wewe hatujui uwezo wa 50 senti ktk hilo. Sijaona tatizo kubwa zaidi la kufanana na kumkosoa hapo tukilinganisha na picha za BEMBEA ambalo halizungumzi wala kutoa mchango wowote.
 
Mkuu leo ndio nimejua JK Kwanini anapenda kwenda Marekani kila mara kumbe ni ratiba ya kupiga picha na wasanii na watu Maarufu Duuuuuuuu kweli kazi ipo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom