Rais Kikwete akanusha kumuokoa Ridhiwani katika kesi ya dawa za kulevya China

Well and good! Lakini sasa hizi pembe za ndovu zinazosafirishwa kila leo kwenda China ni kwa mkataba upi?

6 November 2014 Last updated at 09:03 ET [h=1]Tanzania ivory: China officials 'went on buying spree'[/h]
_78792912_ivory.jpg
Campaigners say rising demand in Asia is fuelling the poaching of elephants in Africa and the smuggling of ivory
Continue reading the main story [h=2]Related Stories[/h]

Officials travelling to Tanzania with Chinese President Xi Jinping went on a buying spree for illegal ivory, an environmental activist group has said.
In a report, the Environmental Investigation Agency cited ivory merchants who said demand from the delegation in 2013 had sent prices soaring.


China denies the allegations, saying it consistently opposes poaching.
Conservationists say demand for ivory in China is fuelling poaching.
Officials warn that demand for ivory across Asia has led to thousands of elephants being killed in Africa.
In recent years, poaching has increased across sub-Saharan Africa, with criminal gangs slaughtering elephants for ivory.
'Security checks averted'

The EIA report cited a trader in Tanzania's main port city, Dar es Salaam, named as Suleiman Mochiwa, who met undercover investigators.


He said that when the Chinese government and business delegation arrived, ivory prices in the local market doubled to $700 (£438) per kilo during the visit.
_72100865_72100859.jpg


Earlier this year China for the first time destroyed a large quantity of confiscated ivory

"The [delegation]... used the opportunity to procure such a large amount of ivory that local prices increased," the report says.


Investigators alleged that the Chinese buyers could take advantage of a lack of security checks for those in the country on a diplomatic visit.


"The two traders claimed that a fortnight before the state visit, Chinese buyers began purchasing thousands of kilos of ivory, later sent to China in diplomatic bags on the presidential plane," the report added.
"When your president [Xi Jinping] was here… many kilos go out… many kilos. Half of his plane go with that," one of the traders told the EIA investigators.
The trip was Xi Jinping's first foreign tour as head of state. Traders told the group that similar ivory sales took place on an earlier trip by China's former President Hu Jintao.
_78792785_line976.jpg


Analysis: Celia Hatton, BBC News, Beijing


The illegal ivory trade is flourishing in China, where many prize ivory carvings as valuable status symbols.
However, a portion of Chinese society, including some parts of the government, is working to eradicate illicit ivory sales.
The country's state media publicises the arrests of smugglers and, earlier this year, the first televised destruction of confiscated ivory.


However, education campaigns have a long way to go.
Some in China don't realise that one has to kill an elephant in order to harvest its tusks. In Chinese, the term for ivory is translated literally as "elephant tooth", leading a sizeable portion of the population to believe, in error, that elephants can re-grow their tusks.


Complicating the issue is that China allows limited sales of legal ivory. Conservationists, both inside China and outside its borders, argue that the government needs to ban sales completely in order to stop the trade in its tracks.
 
Kurugenzi ya mawasiliano ya ikulu imekuwa bubu kwa muda mrefu kuzungumzia taarifa zilizoenea mitaani na kwenye mitandao ya kijamii zinazomuhisisha mtoto wa rais JK,Ridhwani Kikwete kujihusisha na biashara haramu ya madawa ya kulevya.Taarifa hizi zinadokeza mtoto huyo wa rais kukamatwa nchini China ktk kisiwa cha Hong Kong hali iliyopelekea mh.rais kwenda China kushawishi serikali ya China imwachie huru.Taarifa hiyo inasema serikali ya China imetoa masharti ya kumwachia mtoto wa rais kwa kupewa gesi ya Mtwara.Kuna maneno mengi katika taarifa hiyo yanayoipaka matope familia ya rais.Tuielewe vipi IKULU inapokaa kimya bila ya kutolea ufafanuzi taarifa hizi za uzushi zinazoipaka matope familia ya rais wetu mpendwa?TUMECHOKA WATU WACHACHE KUTUMIA MITANDAO YA KIJAMII KUIANDAMA FAMILIA YA RAIS.USALAMA WA TAIFA MKO WAPI?VYOMBO VYA DOLA MNAFANYA KAZI GANI?CHUKUENI HATUA.
 
Habarini,

Nimekua mfuatiliaji sana wa siasa humu, ndani na nimeona comments nyingi sana zikihoji utajiri wa Lowassa Kwamba hauna maelezo ya kutosha.

Hapa naomba kufahamishwa juu ya utajiri mkuuuubwa wa Huyu bwana mdogo Ridhiwani, alipoupata na nlisikia alishawahi kukamatwa nchini China na biashara haramu ya powder babake anaenda kumtoa kwa kusaini mikataba kadhaa na Nchi ya China.

Naomba wale wanaojua alikopata utajiri Huyu kijana waje wanijuze,

Pia ulishawahi kuripotiwa na GAZETI moja nchini Kwamba mkewe riz alipatiwa mkopo na Body ya HESLB wakati mumewe ni tajiri kiasi Hicho.

Karibuni aisee....
Nawasilisha
 
jamani chama changu nini kimewapata mbona hakujatulia kabisa lumumba ?????? Sasa ni kuumbuana tu kila mtu anabeba fito yake
 
Kuna wakati jk Alikua anazungumza na watz waishio Marekani akaulizwa juu ya kukamata na Riz1 nchini China na yeye Kwenda kumtoa ALIFURA HASIRA AKAKANUSHA
 
Babake anapiga deal kupitia huyo dogo,lakini pia dogo ni dalali wa uteuzi wa nafasi mbalimbali serikalini akikupendekeza tu umepata.
 
Habarini,

Nimekua mfuatiliaji sana wa siasa humu, ndani na nimeona comments nyingi sana zikihoji utajiri wa Lowassa Kwamba hauna maelezo ya kutosha.

Hapa naomba kufahamishwa juu ya utajiri mkuuuubwa wa Huyu bwana mdogo Ridhiwani, alipoupata na nlisikia alishawahi kukamatwa nchini China na biashara haramu ya powder babake anaenda kumtoa kwa kusaini mikataba kadhaa na Nchi ya China.

Naomba wale wanaojua alikopata utajiri Huyu kijana waje wanijuze,

Pia ulishawahi kuripotiwa na GAZETI moja nchini Kwamba mkewe riz alipatiwa mkopo na Body ya HESLB wakati mumewe ni tajiri kiasi Hicho.

Karibuni aisee....
Nawasilisha

huyu dogo ye naniiii!!!kama baba yake alivyowawekea vinyongo viongozi na watu wengine sasa atakiona cha moto yeye na baba yake
 
Haya ndio myasimamie wakati unayemtaja anatafuta utumishi wa umma ili Umma umjue si mtu safi na umkatae. weka hili kama atarudi tena Chalinze anza nae. ila kwa sasa kama una nguvu anza utafiti ukipata data nzuri utaisaidia jamii kama atafika kwa Mangu au Hosea. Tukijadiri hapa sidhani kama ni mwafaka. tulilipigia kelele la mamvi kwa sababu alikuwa anatafuta uongozi wa umma
 
majibu yako
1. kwanza riz1 alishakanusha juu ya watu wanaotumia ID za jina lake mitandaoni. mfano mzuri ni ile meseji iliyotumwa na mtu ikitumaa id yenye jina lake wakati mtumaji alionesha kwenye IP yupo minjingu na meseji ya pili ilitumwa akiwa kijenge arusha wakati huohuo riz1 alikuwa Dar.
2. huo utajri wa riz1 ni wakufikirika kwa maana watu wakiona magari mengi kama ya Asas wa Iringa wanafikiri ni ya Riz1 wakati Asas ni tajiri hata kabla ya kuzaliwa kwa Riz1.
3. hiyo ya kushikwa na madawa ya kulevya ni upuuzi mwengine unaoelezwa humu eti Kikwete alienda china usiku mmoja na kurudi wakati ukweli huwezi kwenda china ndani ya siku moja. na kwa tarehe inayotajwa Kikwete alikuwa Rwanda kikazi.
4. Hili la mke wake kupewa mkopo sijui. anayejua atueleweshe.
5. usiamini kila unachoaminishwa au kwa ID mbalimbali zinazotumika mitandaoni. kumbuka hata lowasa alishawahi kukanusha hivi majuzi juu ya mtu anayetumia id yake mitandaoni.
nadhani umenifahamu vizuri. siku njema.

Habarini,

Nimekua mfuatiliaji sana wa siasa humu, ndani na nimeona comments nyingi sana zikihoji utajiri wa Lowassa Kwamba hauna maelezo ya kutosha.

Hapa naomba kufahamishwa juu ya utajiri mkuuuubwa wa Huyu bwana mdogo Ridhiwani, alipoupata na nlisikia alishawahi kukamatwa nchini China na biashara haramu ya powder babake anaenda kumtoa kwa kusaini mikataba kadhaa na Nchi ya China.

Naomba wale wanaojua alikopata utajiri Huyu kijana waje wanijuze,

Pia ulishawahi kuripotiwa na GAZETI moja nchini Kwamba mkewe riz alipatiwa mkopo na Body ya HESLB wakati mumewe ni tajiri kiasi Hicho.

Karibuni aisee....
Nawasilisha
 
Back
Top Bottom