Rais Kikwete afanya uteuzi Zimamoto na Uhamiaji

Renegade

JF-Expert Member
Mar 18, 2009
7,127
6,764
8-mgumba+akiongea.JPG

New+Picture+%281%29.bmp
 
Sijaelewa Tangazo lenyewe.

Uteuzi unaanzia Tarehe 10 Aprili, 2014 halafu tangazo linatolewa Tarehe 20 Mei 2014!
 
"... uteuzi wa sasa unaanzia mwezia june 2013..."


​Inamaana mwaka jana au typing error?
 


Pamoja na kuwa taarifa hii ina maeneo yanayojikanganya kubwa ambalo sijalielewa ni hili la vyeo.

Hivi Police nao kuna Luteni Kanali kama Jeshini au huyu bwana Lidwino Simon Mgumba alikuwa JWTZ nakustaafu au alihamishiwa ZimaMotto kutokana na Utaalamu wake!

Wajuzi saidieni !
 
Back
Top Bottom