Mwazange
JF-Expert Member
- Nov 16, 2007
- 1,056
- 81
Jamani naona tunamsakama sana mkuu wetu....namtetea kwa hili...kwa kiasi fulani lakini....majukumu ya kuongoza taifa huru ni mengi, huwa anahitajika sehemu nyingi. ukijumlisha na kuwa ni kiongozi wa bara letu la Afrika katika awamu hii, basi mambo ndo juu ya mambo. Ni kweli angeweza kuunganisha safari yake ya mwisho ya Japan na hii maana aliijua safari hii wakati anaenda ile, but anyway safari zote mbili zilikuwa na maana, ingawa wakuu wa itifaki wanahitaji shule zaidi, mwacheni aende....
Kuhusu Mama ziara, jamani ndio mai waifu wake, anahitajika kuwa bega kwa bega na muheshimiwa, lakini yeye anafanya la maana kwa kumuwakilisha mkuu locally. Ni bora ya ziara azifanyazo na hata za kwenda kufungua mashindano ya shule za sekondari kuliko ya kuwa angekaa tu ikulu au kuwa bize na biashara kama tulivyoona hapo awali....
Ni maoni yangu tu lakini...