Rais Kenyatta asema wapinzani wafanye maandamano yao, ila wakifanya vurugu watashughulikiwa

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Rais Uhuru Kenyatta amesema maandamao waliyopanga kufanya wapinzani leo kushinikiza kuondoka kwa mkurugenzi mkuu wa IEBIC ni haki yao kikatiba, ila wakiharibu mali za watu na kusimamisha watu wanaofanya kazi watajua kuwa kuna serikali

Naye Mkamu wa Rais William Ruto, tume ya uchaguzi haina tatizo, na mahakama ilikuta maafisa wake hawana tatizo ila upinzani wanataka kufanya maandamano kwa sababu wanajua hawana uwezo wa kushinda



Chanzo: Citizen Tv
 
Huyo ndiyo democracy duo huku magu anangaika kununua wapinzani.sema albadiri imeanza kumtafuna Jamaal yeti.


Swissme
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom