Rais Kenyatta asema hatafanya mazungumzo na Upinzani na lazima uchaguzi ufanyike 26 Oktoba

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Rais Uhuru Kenyatta na Makamu wake William Ruto wamesema hawarafanya mazungumo na upinzani wamesema hawatafanya mazungumzo na Upinzani na uchaguzi lazima ufanyike tarehe 26 Oktoba na wapo tayari

Pia amewaonya wanaopanga kufanya vurugu kuwashambulia maafisa wa tume na wapiga kura na kusema watadhibitiwa vikali na vyombo vya usalama.

Wakiongea katika mikutano katika Kaunti za Trans Zoia, Baringo na Laikipia, viongozi hao wa Jubilee wamepuuzia wito wa Raila Odinga kujadili mabadiliko katika tume ya uchaguzi kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa marudio

Uhuru Kenyatta alisema ''Mazungumzo pekee nitakayofanya nitafanya na Wakenya, wapiga kura ambao nitaomba wanichague. Tume ya Uchaguzi imepewa Ksh. bilioni 12 kwa ajili ya kuendesha uchaguzi na sio kufanya mazungumzo na yoyote''

Aliongezea pia ''Nimesikia wanataka kufanya mazungumzo na mimi. Sina muda na mazungumzo hayo, kama Raila hataki uchaguzi anaweza enda nyumbani na kulala na kuwaacha Wakenya watumie haki yao ya kikatiba
================================================

  • Jubilee leaders dismissed National Super Alliance leader Raila Odinga’s call for a meeting to discuss changes at the electoral commission before the repeat poll.
  • The President accused Mr Odinga of instigating the attacks, adding that the opposition was free to withdraw from the election but not to disrupt polling.
  • In Nanyuki, Deputy President William Ruto said the October 26 election was unstoppable, whether IEBC commissioners resign or not.

President Uhuru Kenyatta and his deputy William Ruto have ruled out talks with the opposition on the repeat presidential election, saying Jubilee is ready for next week’s poll.

At the same time, the President warned individuals planning to disrupt next week’s repeat election that they will face the law, as he condemned attacks on electoral commission officials across the country.

Addressing rallies in Trans Nzoia, Baringo and Laikipia counties, the Jubilee leaders dismissed National Super Alliance (Nasa) leader Raila Odinga’s call for a meeting to discuss changes at the electoral commission before the repeat poll.

They said Mr Odinga had already announced his withdrawal from the election and should stop making demands.

“We are ready for the election set for October 26 and I will not hold talks with anyone,” President Kenyatta told hundreds of supporters in Kabarnet.

DIALOGUE

“The only talks I will hold are with the people of Kenya, going to the voters to ask for votes. The IEBC (Independent Electoral and Boundaries Commission) has been supported by taxpayers with Sh12 billion and their job is to organise elections and not to hold dialogue with anyone,” he said.

The President added: “I heard that they (opposition) want to have talks with me. I have no time for such talks. If Raila is not ready to vote on October 26, then he can go and sleep in his house and leave alone Kenyans who are ready to exercise their democratic rights.”

During a Jubilee rally in Nanyuki, Laikipia County, on Wednesday, President Kenyatta warned: “Anyone who will attempt to disrupt the election or beat election officials will be dealt with regardless of their position. You cannot stop a democratic process.”

He added: “We cannot allow a few individuals to destroy our country.”

OFFICIALS ATTACKED

He cited incidents where IEBC officials were attacked while conducting training for the coming poll.

The President accused Mr Odinga of instigating the attacks, adding that the opposition was free to withdraw from the election but not to disrupt polling.

“Mr Odinga, we have respected your decision to keep off the election. Why do you think you have a right to deny Kenyans a chance to vote?” he asked.

The Head of State said the security of IEBC staff will not be compromised and they should be allowed to do their work without intimidation.

The President spoke shortly after mobs stormed areas in Kisumu and Vihiga where election officials were holding training workshops ahead of the election.

In Kisumu, a training session at the county’s Huduma Centre was disrupted after youths stormed it and vandalised chairs and tents.

RESIGNATION

In her resignation statement Wednesday, Dr Roselyn Akombe, who was a commissioner, cited fears that the IEBC staff had, especially over attacks during training sessions. She referred to attacks that saw staff sustain injuries in Mumias, Bungoma, Homa Bay, Siaya, and Kisumu during training.

In Nanyuki, Deputy President William Ruto said the October 26 election was unstoppable, whether IEBC commissioners resign or not.

“They can call press conferences as they want and resign as they desire but we must go to the polls,” he said.

The DP insisted that there are schemes by the opposition to destroy the country. He said it is time the country moved on.

REFORMS

“Kenya cannot be stopped from moving forward because of people who are not interested in development of the nation. We have said enough is enough of these games, schemes and rackets,” Mr Ruto told Jubilee supporters during the Nanyuki rally.

He warned Nasa leaders against going back to the streets with demands on reforms at the IEBC while their candidate, Mr Odinga, had withdrawn from the election.

Source: Daily Nation
 
Kutamka nirahisi sana

Mazungumzo ni ‘ballot box’ kura itazungumza 26/10/2017 nchi nzima, kama kitendawili kakimbia sanduku la kura ndiyo mwisho wake wa siasa za Kenya (a technical knock out!). Hii ni kama Kombe la Dunia(World Cup Tournament) kama timu moja ya mpira ikijiondoa mashindano yanaendelea na mshindi anachukua kombe, sasa Raila kaondoa timu yake wakati huohuo anadai mazungumzo/maelewano ili apate nusu mkate kwa mlango wa uani, mchezo unaendelea na timu zilizopo 7 mshindi atachukua kombe kwa vigelele na nderemo!!!
 
Tapika tu
kama rahisi kiivyo
 
Na vipi kama Uhuru ameshaweka Miundombinu ya Kuiba tena kama awali? Huoni kama wapinzani wake kukubali kupiga kura ni kujiingiza kwenye mtego uleule?
Maana niliona pia wapinzani wakiomba kufanyika reforms kwenye Tume wakidai tume ileile iliyoharibu haitakiwi kuendesha uchaguzi ujao.!
Na pia kumbuka JUBILEE wameforce kupitisha baadhi ya sheria immediately baada ya mahakama kubatilisha Yale matokeo.. Kuna nini hapa?
Tuwaombee majirani,
My opinion is Hakutakuwa na Uchaguzi Tar 26
 
Pamoja na Kuwa Uhuru ni Rais wa Kenya, RAO seem to be powerful than Uhuru,
Kuna uwezekano mkubwa huo uchaguzi kuahirishwa tena hadi Mwakani
 
Na vipi kama Uhuru ameshaweka Miundombinu ya Kuiba tena kama awali? Huoni kama wapinzani wake kukubali kupiga kura ni kujiingiza kwenye mtego uleule?
Maana niliona pia wapinzani wakiomba kufanyika reforms kwenye Tume wakidai tume ileile iliyoharibu haitakiwi kuendesha uchaguzi ujao.!
Na pia kumbuka JUBILEE wameforce kupitisha baadhi ya sheria immediately baada ya mahakama kubatilisha Yale matokeo.. Kuna nini hapa?
Tuwaombee majirani,
My opinion is Hakutakuwa na Uchaguzi Tar 26
hizo reforms ni pamoja ni kuondoa baadhi ya watendaje wa iebc hususan CEO,,, sasa hili jambo lipo kikatiba......

jiulize kwann hawaendi mahakamani kulazimisha hizo reforms! hapo ndipo lilipo jibu
 
Media sasa wanakubaliwa kutazama upigaji kura na kupeperusha live kutoka kwa polling station... Nadhani hii itasaidia kwa uwazi
 
Na vipi kama Uhuru ameshaweka Miundombinu ya Kuiba tena kama awali? Huoni kama wapinzani wake kukubali kupiga kura ni kujiingiza kwenye mtego uleule?
Maana niliona pia wapinzani wakiomba kufanyika reforms kwenye Tume wakidai tume ileile iliyoharibu haitakiwi kuendesha uchaguzi ujao.!
Na pia kumbuka JUBILEE wameforce kupitisha baadhi ya sheria immediately baada ya mahakama kubatilisha Yale matokeo.. Kuna nini hapa?
Tuwaombee majirani,
My opinion is Hakutakuwa na Uchaguzi Tar 26

Amini usiamini kura zitahesabiwa vituoni ambapo pata kuwepo wawakilishi kutoka vyama vyote, pia waandishi wa habari, na technical team ya wawakilishi katika vituo vyote 40000 na majimbo yote 290. Sasa mahakama ilitoa amri kuwa kura katika hayo majimbo 290 ni final zinapelekwa makao makuu Bomas Nairobi kama ushuhuda tu lakini mambo yote yamemalizwa vituoni. Kwa hiyo hata kama hakuna kutuma kwa electronic mshindi hapo kishajulikana! Sasa Raila haya yote hataki kwa sababu hana namba za kutosha kwani ngome zake mahesabu hayawezi kumtosholeza. Ana wapigakura Kibra Nyanza na Mombasa ni chache wakati Uhuru ameshika sehemu zote nyingine. Jamaa anajua hawezi kushinda ni mpaka nusu mkate kama 2007/2008. Fujo zote hizo ni staili ya kutafuta nusu mkate. Hii ni mara ya tano kuanguka! Wakikuyu wakamba na Kalenjins ambao ni ngome ya Uhuru na Ruto kuna wastani wa kura millioni 10 hapo tayari ushindi!
 
hizo reforms ni pamoja ni kuondoa baadhi ya watendaje wa iebc hususan CEO,,, sasa hili jambo lipo kikatiba......

jiulize kwann hawaendi mahakamani kulazimisha hizo reforms! hapo ndipo lilipo jibu
Katiba inasema wazi uchaguzi ukifutiliwa lazma ifanyike ndani ya siku 60...supreme court yenyewe iliiamuru iebc iandae uchaguzi ndani ya siku 60. Siku 60 zinaisha 1st Nov...mbna tukubalie watu wachache watuhold hostage.. Kama ni wasi wasi wa uchaguzi kukosa kuwa wa huru na haki mbna wasiipee iebc nafasi iandae uchaguzi alafu wanote down makosa yote yatakayo fanyika kisha warudi mahakamani after uchaguzi?mahakama yenyewe walisema wazi makosa hayo yakijirudia hawatasita kuvuta huo uchaguzi tena
 
Na vipi kama Uhuru ameshaweka Miundombinu ya Kuiba tena kama awali? Huoni kama wapinzani wake kukubali kupiga kura ni kujiingiza kwenye mtego uleule?
Maana niliona pia wapinzani wakiomba kufanyika reforms kwenye Tume wakidai tume ileile iliyoharibu haitakiwi kuendesha uchaguzi ujao.!
Na pia kumbuka JUBILEE wameforce kupitisha baadhi ya sheria immediately baada ya mahakama kubatilisha Yale matokeo.. Kuna nini hapa?
Tuwaombee majirani,
My opinion is Hakutakuwa na Uchaguzi Tar 26
Wakiiba raila akwende tena kwa korti this time aombe korti impatie mamlaka aunde yeye tume ya uchaguzi kukwepa kuibiwa ili (kama huibiwa) basi iwe samu yake.
 
Back
Top Bottom